Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

Aisee samahani lakini ingawa nimegundua ninafanya converstation na mtu ambae ni mgumu sana kuelewa.

Soma jibu langu lina majibu yote YA KWANINI NAAMINI KUNA MUNGU.

Katika majibu hayo sijahusisha maandiko hata sehemu moja.

My regards
Usijari mkuu hata mie naona tunapata tabu kuelewana ila twende taratibu pengine tunaweza kuelewana.

Utambuzi wako wewe kuhusu uwepo wa mungu hausiani na dini,ndivyo?
 
Ndiyo maana nikauliza kuwa umewezaje kujua kuwa kuna mungu na ndiyo muumbaji nje ya imani za dini? Maana mie naamini kuwa dini ndiyo zenye mafundisho ya kwamba kuna mungu na muumbaji,na ndiyo maana vitabu vya dini zinaeleza habari za mitume ambao ndiyo walikuwa wakija kuwakumbusha watu suala hilo la kuwepo mungu na ndiyo muumbaji.
 
Jibu nililokujibu hapo juu limejibu hilo swali. Unless kama una swali lingine
 
Nikakujibu kwambaaa, kwa kujiangalia mimi jinsi nilivyo, mikono, miguu, ubongo, utumbo na hata uwezo wa kuongea, kufikiria.. Vyote ivyo hakuna binadamu wa kufanana na mimi anayeweza kuvifanya.

Which means kuna mtu au kitu kilichoratibu kutengenezwa kwangu.

Kwangu huyo/hicho kitu ndio MUNGU.

So naamini kuna Mungu kupitia mimi mwenyewe.

Huyo Mungu naye ana chanzo?
 
Huyo Mungu naye ana chanzo?
Mkuu umesema umesoma imani nyingi,je katika kusoma kwako hukuwahi kusoma kuwa mungu hana mwanzo wala mwisho? Na ikiwa yeye ndiyo muumbaji inawezekana vp nae awe kaumbwa hali ya yeye tu ndiye muumbaji?
 
Kila imani ina mtazamo wake juu ya Mungu na chanzo chake. Lakini kabla ya kufika huko. Nitazungumza baadae kwanza.

Nataka kwanza kufahamu huyo anayesema anaamini lazima uwepo wake uwe umetokana na chanzo na hicho chanzo ni mungu kwake.

Nami nataka kujua je na hicho chanzo chake ambacho ameita ni mungu naye hana chanzo? Kama ana chanzo nitauliza ni nini, kama hana chanzo nitauliza amejuaje? Kama ametumia kipimo cha kujua yeye ana chanzo kwanini asitumie kipimo hicho kujua chanzo cha chanzo chake?
 
Hapo nimekuelewa.
 
Bro una hoja ya msingi sana ila nakujibu hivi..!kwa Biblia tunajua kuna machanganyiko wa Maneno ya Mungu,manabii,mitume,wanahistoria ambao wengine waliingiza mitazamo yao binafsi hiyo imepelekea baadhi ya madhebu kuwa na vitabu vichache wengine 66 wengine 72 sababu ya kutokukunaliana...kwa upande wa Quran kwa mujibu wa iman ni maneno ya MwenyezMungu hamna hata neno la Muhammad ndani ya Quran...sasa hiz zote ni iman tunahitaji ku prove kama kweli yanatoka kwa Mungu au man made!
Quran-Quran inaitwa the living miracle kwa sababu haijawahi kubadilishwa neno hata moja tangu imeteremshwa na labda nikuweke sawa uliposema imeteremshwa kutoka mbinguni maana yake malaika alikuwa akija ujumbe huo kutoka mbinguni na mpangalio wake hamna mwanadamu anaweza kuupanga..
Pili kwenye ulimwengu huu wa sayansi na techolojia Quran haipo nyuma na tena wanasayansi wakuwa wakishangazwa na Quran vitu wanavyotangaza wamevigundua vinakuwa vipo tayari ndani ya qurani
Mfano-hatua za mwanadamu anavyoubwa kuanzia kwenye tone la manii had kuwa kiumbe hataua za kisayansi kabisa miak 1,400 iliyopita wanasayans wa wamegundua juz na mgunduzi ni Prof kithmore na alipooneshwa aya za Quran juu ya aliachokigundua akasema defination ya Quran ni bora kuliko yetu hii tuliyoitoa katika dunia ya sasa ya ambapo tuna vifaa vingi vya uchunguzi na aksema lazima hii Quran ni neno la Mungu na Muhammad ni mtume wa Mungu hata you tube ipp video yake akikiri hili swala

Big ban theory- imethibitishwa ndani ya Quran wanasayansi wamegundua miaka karibun 50,100,200 au 300 iliyopita Quran imezungumIa miaka 1,400 iliyopita

Water cycle -imezungmzwa kwa details kubwa sana ndani ya Quran had anga la mawasiliano ambapo leo tunatumia radio,internet,simu vyote vimezungumzwa ndani ya Qurani

Hii yote kwa muda amabao Quran imeshushwa hakuna ambae aliekuwa anaijua dunian na Mambo yake yaliyomo zaid ya aliyeiumba Muhhamd kazaliwa jangwan lakin Qurani inazungumzia kukutana kwa bahari mbili ambazi zinakutana lakin maji yake hayachanganyiki na wanasayans wamegundua na Quran imefafanua kisayansi why hayachanganyiki kitu ambacho hata wansayans kiliwapa tabu
Y
Yapo mengi ila muda na uwanja hautoshi ili ku prove scientic facts za quran coz Mungu alijua watatokea watu wa kuhoji uhalali wa haya maandiko sasa inabid to prove kupitia unavyoviona kila siku na kwako ni vipya ila vilishatamkwa tangu zaman.!
 
Mkuu unamaanisha kwamba sisi ndio jamii bora na yenye viwango vya juu zaidi kuliko jamii zilizopita?

Unaposema kwamba wanasayansi wamegundua juzi issues za human formation unamaanisha huko nyuma walikuwa wanaishi pasipo kuyajua hayo?

Hivi ushawah kufikiria kwamba dunia ilianza lini? Achana na vitabu vimeandika nn, mi nadhani dunia imetoka mbali sana. I mean ilianza siku nyingi sana. Unasema wanasayansi, vitabu vinaandika kwamba kina Aristotle, Kina Newton, Kina Einstein ndio hasaa chimbuko la sayansi... Ushawahi kufikiri miaka 50000 iliyopita walikuwa wanaishije?

Je unaamini kwamba kipindi hicho hakukuwa na wanasayansi ya kuyajua hayo?

Nafikiri tuna mengi sana ambayo hatuyajui kuhusu PAST. Na kwetu sisi hiki ki portion cha miaka 2000 tunakiona kama kirefu ila inawezekana kabisa tunayopitia, tutakayopitia, KUNA JAMII AU WATU WASHAWAHI KUISHI HIVYO HUKO NYUMA YETU, Ila kwa sababu kimetokea sasa ivi tunakiona kipya
 
Mkuu usisingizie sayansi.

Hivyo ulivyovitaja kama Big bang sio logic ya Quran, Evolution sio logic ya quran na vinapingana na maandiko.

Umeme, wireless na internet iliigwa katika kitabu Cha Bavhad Gita na Nikola Tesla alisema mwenyewe kwa Quote yake baada ya kufundishwa umeme na Swali Vevekananda.

The Influence Vedic Philosophy Had On Nikola Tesla’s Idea Of Free Energy

Katika Schience Asia spirituality kama Vedas na magundisho yao yamechangia kwa kiasi kikubwa kwa sababu Big Bang Theory ni sehemu ya Imani ya Veda juu ya mwanzo wa ulimwengu, Solar system, human evolution, Manii kutoka katika damu its true hata Vedas inafundisha hivyo miaka 3500 kabla ya Quran.

Sitetei Vedas ila najaribu kukupa ukweli halisi kwa sababu unatetea Quran tu ambayo still iliamini dunia ni flat kama capeti.

882a5af67d5e3a95d5390b7ea380fcf5.jpg

36fdf4402804d1fc344f58ff3f61299e.jpg
 
Mi namjua yeye. But ukiniuliza chanzo chake nadhan hilo atakuwa analijua vizuri zaidi yeye mwenyewe.

Good points. Asante kwa kunifahanisha hilo.

Kama chanzo chake hukijui na umekiri kuwa hufahamu kama kipo au hakipo. Ni yeye mwenyewe anajua.

Kwanini hukiri kuwa hujui na chanzo chako na wewe?

I hope umenielewa swali langu
 
Mkuu unamaanisha kwamba sisi ndio jamii bora na yenye viwango vya juu zaidi kuliko jamii zilizopita?

Unaposema kwamba wanasayansi wamegundua juzi issues za human formation unamaanisha huko nyuma walikuwa wanaishi pasipo kuyajua hayo?

Hivi ushawah kufikiria kwamba dunia ilianza lini? Achana na vitabu vimeandika nn, mi nadhani dunia imetoka mbali sana. I mean ilianza siku nyingi sana. Unasema wanasayansi, vitabu vinaandika kwamba kina Aristotle, Kina Newton, Kina Einstein ndio hasaa chimbuko la sayansi... Ushawahi kufikiri miaka 50000 iliyopita walikuwa wanaishije?

Je unaamini kwamba kipindi hicho hakukuwa na wanasayansi ya kuyajua hayo?

Nafikiri tuna mengi sana ambayo hatuyajui kuhusu PAST. Na kwetu sisi hiki ki portion cha miaka 2000 tunakiona kama kirefu ila inawezekana kabisa tunayopitia, tutakayopitia, KUNA JAMII AU WATU WASHAWAHI KUISHI HIVYO HUKO NYUMA YETU, Ila kwa sababu kimetokea sasa ivi tunakiona kipya

Asante kwa kumuelewesha. Nadhani alivamia ukumbi na kwa bahati mbaya akakuta kuna watu wanaelewa anachokizungumza.
 
Kila imani ina mtazamo wake juu ya Mungu na chanzo chake. Lakini kabla ya kufika huko. Nitazungumza baadae kwanza.

Nataka kwanza kufahamu huyo anayesema anaamini lazima uwepo wake uwe umetokana na chanzo na hicho chanzo ni mungu kwake.

Nami nataka kujua je na hicho chanzo chake ambacho ameita ni mungu naye hana chanzo? Kama ana chanzo nitauliza ni nini, kama hana chanzo nitauliza amejuaje? Kama ametumia kipimo cha kujua yeye ana chanzo kwanini asitumie kipimo hicho kujua chanzo cha chanzo chake?
Brother, HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUJUA UKWELI WA KITU ZAIDI YA HICHO KITU CHENYEWE.

Mimi siwezi kukwambia Origini ya Mungu kwa maana ya nini kilimtengeneza Mungu, actual thats out of my concern.

Najua kuna kilichonitengeneza ambacho kwangu ndo Mungu wangu, sasa aliyemtengeneza huyo Mungu mimi simjui ni nani na sina sababu ya kumjua, ni Mungu mwenyewe anaejua hilo.

Mwanao anajua ametoka kwako, ila hata ukimwambia kwamba wewe ulishushwa kutoka angani atakubali tu, it doesnt concern him kujua ww umetoka wapi as far as yeye anajua ametoka kwako.
 
Good points. Asante kwa kunifahanisha hilo.

Kama chanzo chake hukijui na umekiri kuwa hufahamu kama kipo au hakipo. Ni yeye mwenyewe anajua.

Kwanini hukiri kuwa hujui na chanzo chako na wewe?

I hope umenielewa swali langu
Hahahahaaaa Apollooooooo,

Nakujibu hivi.

Nikisema MUNGU sijui wewe unaelewaje. Hakuna sehemu niliyosema kwamba namjua Mungu. Nilichosema ni kwambaaa...

Whatever it may be, chochote kilichonitengeneza mimi, kiwe kishapita au bado kipo, kiwe kinahema au hakihemi, kiwe ni upepo au jua. Kwangu hicho ndio Mungu, na ninaamini katika nguvu zake.

Kwa hiyo NAAMINI KWAMBA MUNGU YUPO.

Ukiniuliza yukoje nitakwambia sijui yukoje maana sijawahi kumuona au kukiona.

Hahahaaa
 
Back
Top Bottom