Nafazi za kazi tulawaka

musa john

Member
Apr 25, 2012
20
9
wadau mgodi wa tulawaka wametangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
- operators (post 10)
- security (post 15)
- supervisor (post 7)

wenye vigezo kazi kwenu tumeni kwa email hii
applydar@barrick.com au mawasiliano zaidi 0766920604
mwisho wa kutuma maombi ni 30/6/2012
wakuu nimeshindwa kuliscan tangazo lote sababu nimeliona wakati naingia kazin asubuhi na mda wa kutoka nijioni imebedi niwape kwa ufupi tu ila kwa maelezo nimewaibia hiyo namba muwasiliane na mhusika mkuu
tusaidianeni jamani maisha ni magumu kitaaa.
 
asante mkuu ila tunaomba utusaidie email ya hapo mgodini kwani hiyo ulioitoa ni ya makao makuu yao na email hiyo ni ngum sana kupata kazi kwani maombi hayo yanapitia dar mimi naifaham ni email ya migodi karibu 4. najua unatujali tusaidie email ya hapo mgodini au ya mhusika kabisa tutashukuru sana mkuu
 
Hata hizo information ulizotoa ni muhimu sana kamanda!! Ngoja hiyo namba mie nitaipiga then atanipa correct email ya hapo mgodini. Thanks again
 
asante mkuu ila tunaomba utusaidie email ya hapo mgodini kwani hiyo ulioitoa ni ya makao makuu yao na email hiyo ni ngum sana kupata kazi kwani maombi hayo yanapitia dar mimi naifaham ni email ya migodi karibu 4. najua unatujali tusaidie email ya hapo mgodini au ya mhusika kabisa tutashukuru sana mkuu

Ndugu unaonaje hizo email za migodi hiyo mi4 ungetushirikisha ukazimwaga hapa jamvini. Nitakushuru sana binafsi ukiziweka hewani. Thanks
 
ngoja niitafute email ya mhusika mkuu nitawapatia ila ni mwanamke mkiongea nae vizuri atawapa email anaroho nzuri sana alafu mkimpigia msiseme mmeona tangazo humu atawaelewa sema umeona tangazo limebandikwa au umetumiwa namba na ndugu yako yupo hapa mgodini kwetu mkijichanganya hawezi kuwaelewa
 
wadau mgodi wa tulawaka wametangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
- operators (post 10)
- security (post 15)
- supervisor (post 7)

wenye vigezo kazi kwenu tumeni kwa email hii
applydar@barrick.com au mawasiliano zaidi 0766920604
mwisho wa kutuma maombi ni 30/6/2012
wakuu nimeshindwa kuliscan tangazo lote sababu nimeliona wakati naingia kazin asubuhi na mda wa kutoka nijioni imebedi niwape kwa ufupi tu ila kwa maelezo nimewaibia hiyo namba muwasiliane na mhusika mkuu
tusaidianeni jamani maisha ni magumu kitaaa.

Vipi zile kazi za (Masumbwe) Bukombe ulizotuletea tar. 25/04/2012 saa 15:42 mbona kupo kimya na watu wakipiga ile namba wanaombwa pesa?
au huu mmeshabuni ni mradi wa kuwaingizia pesa?
 
asante mkuu ila tunaomba utusaidie email ya hapo mgodini kwani hiyo ulioitoa ni ya makao makuu yao na email hiyo ni ngum sana kupata kazi kwani maombi hayo yanapitia dar mimi naifaham ni email ya migodi karibu 4. najua unatujali tusaidie email ya hapo mgodini au ya mhusika kabisa tutashukuru sana mkuu

Ulishatuambia mdogo wako aliombwa lak 1 na HR na akamwambia akianza kazi ampe lak 2 (kwa mujibu wa post yako ya tar. 26/04/2012 saa 12:20 kwenye uzi wa "kazi mgodi mpya).
Vp leo mbona unafuatilia tena kazi hiz et hiyo email unaifahamu ni ya makao makuu. Na umeanza kuchangia uzi huu saa 1 baada ya Musa John kuupost hapa JF.

Ninyi inaonekana ni ki2 kimoja.
Naendelea kufanya uchunguzi.

Kama wezi mtajulikana 2.
 
wema wangu unaniponzaeee ndugu kama unajamaa unaemfaham muulize kuhusu hiyo email au kama kuna mtu anafanya tulawaka muulizie kuhusu hizi post atakuelewesha au kama unaweza njoo tulawaka uangalie kama hakuna post hizi siwezi kubishana na wewe na email hiyo ifatilie kama ni uongo utajulikana tu
 
ukiniuliza hilo swali siwezi kujibu tangazo hilo lilibandikwa kahama nadhan kama kuna mkazi wa kahama hum atakua shahidi karibia kila nguzo ya umeme nyumba za biashara kulikua na tangazo hilo, sijui kosa nikuwajulisha au kosa kuliweka hum sina taarifa zozote sababu niliona tangazo ni nikalileta hum ndani
 
barrick hawabandiki matangazo ya ajira kwenye nguzo,au baa. Alafu pale tulawaka kazi zimepungua walikuwa na mpango wa kupunguza wafanyakazi.ilifikia kipindi sag mill haifanyi kazi siku mbili,kutokana na upungufu wa ORE.alafu kuna tetesi kwamba kuna mine closer.
Acha kuchezea watu wewe.
 
Mmeshapewa tip, acheni uvivu vijana! Mnashindwa kuingia kwenye website yao na kuchukua namba ama kuwatumia email ku-inquire? Mnaweza kutuma email pia ya recruitment mtakayoona kwa web! Kama ni issue ya kitapeli yeye ajulie wapi, kwani ana recruitment agency?
 
ukiniuliza hilo swali siwezi kujibu tangazo hilo lilibandikwa kahama nadhan kama kuna mkazi wa kahama hum atakua shahidi karibia kila nguzo ya umeme nyumba za biashara kulikua na tangazo hilo, sijui kosa nikuwajulisha au kosa kuliweka hum sina taarifa zozote sababu niliona tangazo ni nikalileta hum ndani

Kuna jamaa yangu alimpigia simu yule dada uliyesema ni msimamizi wa mgodi Bukombe akapewa namba hiyo uliyotoa hapo juu akaambiwa ni ya HR wa pale mgodini atume laki 1.

Swali: Je huyu HR ni wa CHIWACO INVESTMENT LIMITED na BARRICK kwa ujumla?

Wasiwasi mwingine ni kuwa namba hiyo haijasajiliwa.
 
Hivi yule mama HR 'mkuda mkuda' bado yupo Tulawaka? migodi inaharibiwa sana na hawa ma HR 'wakibongo' wasio na qulifications
 
Mmeshapewa tip, acheni uvivu vijana! Mnashindwa kuingia kwenye website yao na kuchukua namba ama kuwatumia email ku-inquire? Mnaweza kutuma email pia ya recruitment mtakayoona kwa web! Kama ni issue ya kitapeli yeye ajulie wapi, kwani ana recruitment agency?

Ukiingia kwenye website ya ABG kazi zilizotangazwa tar 12/06/2012 ni hizi zifuatazo:

1. Organizational Effectiveness Manager (Bulyanhulu Gold Mine)
2. Mechanical Foreman (Buzwagi Gold Mine)
3. System Coordinator (North Mara Gold Mine)
4. Alimak Mechanic/Trainer (Bulyanhulu Gold Mine)
5. Supply Superintendent (Bulyanhulu Gold Mine)
6. Security Manager (Dar Region Office)
7. Underground Drill Rig Electrician
(Bulyanhulu Gold Mine)
8. Safety & Emmergence Response Superintent (Bulyanhulu Gold Mine)
9. HR Manager (Kagera region - Tulawaka Gold Mine)

Post zote alizotoa huyu jamaa hazipo.

je nani katoa hilo tangazo lililobandikwa?
 
Hivi yule mama HR 'mkuda mkuda' bado yupo Tulawaka? migodi inaharibiwa sana na hawa ma HR 'wakibongo' wasio na qulifications

yule mama alishaondoka mkuu,hr ni mzungu,wasaidizi ni wabongo,msidanganyike hakuna kazi tulawaka.
 
Back
Top Bottom