nafatuta ofisi za CHADEMA jimbo la Ukonga

samvande2002

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
413
34
Jamani nina shida na ofisi za CHADEMA jimbo la ukonga, zipo sehemu gani?

Mtu anisaidie kunielekeza.
thanks
 
Umetumwa nini?

Kwani kuna shida gani kama unafahamu ofisi ilipo kumwelekeza huyu ndugu; ametumwa na nani? Kwnai hizo ofisi zina nini? Kwani nini kuleta majibu ya kujihami; hii inaweza kupelekea watu kuamini kwamba CHADEMA ni chama cha Kimafia, hata ofisi hazipaswi kuwekwa bayana.
 
jamani na mimi naomba kujua ofisi ya chadema jimbo la ukonga iko sehemu gani?
nataka kwenda kukata kadi ya uanachama
 
jamani na mimi naomba kujua ofisi ya chadema jimbo la ukonga iko sehemu gani?
nataka kwenda kukata kadi ya uanachama

Kadi unaweza kuchukua hata makao makuu kama uku Dar shuka manyanya fuata barabara ya magari ya mwananyama kwenda posta ulizia ofisi ya Chadema watu watakupeleka.

Au jisajili kwanza kwa njia ya mtandao.
 
Kwa wanaofahamu hizi ofisi zipo au hazipo; au kuna usiri gani mtu kufahamu ofisi za chama. Inawezekana muuliza swali anataka kuwakilisha mchango wake n.k. Kama hakuna ofisi ni vyema ifahamike kwani wadau wa eneo husika wanaweza kujiunga na kujenga ofisi ya chama. Ni wazo tu!
 
kuna ndugu kahamia ukonga hivi karibuni kutoka morogoro, sasa anataka kujiunga na CHADEMA, ndio aliniuliza nimwelekeze na mimi nikafa sijafahamu zilipo
 
Uliza maeneo ya Gongo la Mboto karibu na shule. Lakini kwa kumsaidia zaidi na kwa urahisi aende pale Kinondoni makao Makuu Njia ya kuelekea makaburini zipo ofisi kuu pale atapata maelezo ya kila kitu...Kwa taarifa tu kwa wale wanaotafuta udaku Wasilete umbea huku Chadema inajitahidi kufungua ofisi sehemu nyingi tu tatizo linakuja SISI M na watawala wake kuna mahala fulani Shinyanga eneo la wazi CDM waliomba kufungua shina wakanyimwa wakati huo huo SISI M walikuwa na shina karibu na hapo!!!!!!!
 
Back
Top Bottom