Nafatuta Nyumba (Kupanga au Kununua)

Sita Sita

JF-Expert Member
Aug 25, 2008
1,393
511
habari wana JF

Natafuta Nyumba ya kuishi maeneo ya Kurasini, Karume au karibu na mjini.
Iwe ya chumba kimoja au viwili vya kulala pamoja na Nakshi nyingine muhimu ndani ya nyumba kama Jiko, Sebule, Choo na bafu. Maji na usalama ni muhimu zaidi. Sina gari hivyo sihitaji eneo la parking. kwa hiyo hata kwenye flats panalipa.

Kuna bro wangu naye anatafuta house maeneo ya Africasana karibu na kanisa la Mwenge. Iwe na 3bedrooms, Maji, Security na eneo nje la kuegesha magari kadhaa.

Nyumba zinahitajika kwa kupanga au kununua kama ni nzuri sana na bei iko poa.

Mwenye info aniPM au contact me kwenye +255 713 690603. Uliza SitaSita
 
Sasa hii " kama ni nzuri sana na bei iko poa" maana yake nini?Kwasababu kwa mtazamo wangu naweza ona nyumba ni nzuri na bei nikaiona sio poa;halafu nyumba hiyohiyo wewe unaweza iona mbaya halafu bei ikawa poa kwa upande wako.
Kwa kifupi,fafanua "kama ni nzuri" maana yake ni nini na hiyo "bei poa" nini;ili mtu yeyote aweze kuelewa.
 
Mimi pia nahitaji nyumba ya kupanga kwa angalau Tshs 300,000/= kwa mwezi lakini isizidi Tshs 500,000/= maeneo ya Dar es Salaam.

Iwe na parking kwa ajili ya magari walau manne hivi, na iwe na gate zuri na itapendeza kukawa na nyumba ya mlinzi.

Naweza kuishi maeneo karibia yote isipokuwa Kijitonyama (tope) na maeneo ambayo yanaendana na Kijitonyama katika mfumo mzima wa barabara za mitaani.

Tuwasiliane kwa email, tina @jamiiforums.com
 
Dar es salaam is just the same, kama hakuna tope, kuna mafuriko au lingine, so we tafuta nyumba tu usikimbie tope, wengi wanaishi huko utaruka tu tope!!
 
Mimi pia nahitaji nyumba ya kupanga kwa angalau Tshs 300,000/= kwa mwezi lakini isizidi Tshs 500,000/= maeneo ya Dar es Salaam.

Iwe na parking kwa ajili ya magari walau manne hivi, na iwe na gate zuri na itapendeza kukawa na nyumba ya mlinzi.

Naweza kuishi maeneo karibia yote isipokuwa Kijitonyama (tope) na maeneo ambayo yanaendana na Kijitonyama katika mfumo mzima wa barabara za mitaani.

Tuwasiliane kwa email, tina @jamiiforums.com

Tabata unakaa? If yes, pale karibu na Posta tabata au Liwiti shule ya msingi, kuna nyumba ya bei hiyo na vitu vyote ulivyotaja hapo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom