Nafasi zisizo na idadi zatangazwa Jeshi la Magereza

bakuza

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
490
100
Nafasi ambazo hazikuwekewa idadi ktk jeshi la Magereza zimetangazwa leo ktk gazeti la Daily News.NAFASI HIZI NI KWA VIWANGO VYA ELIMU kuanzia Degree hadi waliomaliza kidato cha nne kwa kwa kupata div. iv ya point zozote.Kwa habari zaidi mtafute mwenye gazeti hilo la leo upate data zote au mwenye Muda aweke tangazo hilo hapa.
 
Jamani mwenye hilo tangazo tunaliomba,maana wengine hata gazeti kununua ni ishu,hali ni mbaya sana wandugu
 
General qualification
-completion of education should be between the year 2009 and 2011
-certificate of medical fitness by recognized Government M.O
>free from criminal Record
>Active,healthy and good conduct.

SPECIFIC REQUIRED QUALIFICATIONS
(a) GRADUATE
Holders of Bachelors Degree/A.Diploma from recognized Higher learning Institutions in One of the following professions.
*Architects
*Civil Eng.
*Water Eng.
*Q.surveying
*Irrigation
*Agriculture
*Forestry
*M.O/Ass.M.O
Age Not below 18 years and not above 33 yrs old.

NON-GRADUATE(Age 18 not below and Not above 25)
(1)Holders of Diplom from any recognized institution in the following specialitie;

Clinical officers
Nursing Grade A
Agriculture
Irrigation
Poultry
Agro Mechanizati
Electrical Technician
Electronics and T.E

(ii)Holders of certificates,Trade Test Grade One/CBET level III FROM any Government Recognized Institutions in the Following specialities
Tailoring
Carpentry
Bamboo making
Salt making
Embroidery
Welding and Metal fabrication
Soup making
Handcraft making
Agriculture
Nurse Grade B
Masonry

(III) FORM FOUR WHO SCORED DIVISION FOUR

Mode of Application
(.a) all graduates and Non Graduate the application through.
CGP
PRISONS HEADQ
BOX 9190
DAR.

All Applications form four should be addr to the respective Regional Prisons Officers U.F.S Officer In Charge of the Nearest Prisons.
Deadline 15 May 2012.
Nimeweka vitu muhimu tu,kuna vigezo vya Urefu.
MALE -AWE 170.2 CM AU 5 FEET AND 4 INCHES.

FEMALE-167.7CM OR 5FEE AND 4 INCHES
Over
 
Ukiona hivyo tunaongeza idadi ya watu wanaofungwa, which is sad.

Ningefurahi kuona idadi ya walimu au madaktari/ manesi inaongezeka.

All they build is prison, prison, prison....
 
Inawezekana wameamua kufanya replacement ya wazee wanaostaafu kwa kuweka vijana wasomi, watakaoendesha magereza kisasa. Tatizo la wasiosoma wanakuwa very manual na kunuia mateso. Huwa najiuliza magereza kwa nini iwe na kunguni? Wanashindwa kununua dawa na mabomba na kuwapa kazi wafungwa ya kupulizia?
Ukiona hivyo tunaongeza idadi ya watu wanaofungwa, which is sad.

Ningefurahi kuona idadi ya walimu au madaktari/ manesi inaongezeka.

All they build is prison, prison, prison....
 
Nashangaa hawajaweka mambo ya counseling...those wafungwa needs counseling kuliko msosi jamani.
 
Dah! Mimi mwenyewe nataka nikaombe nafasi,lakini hata sijui ofice zake ziko wapi! Au je tunatuma maombi kwa Kiswahili au Kingereza? Na hakuna njia nyingine ya kutuma maombi mpaka utume kwa njia ya posta?
Msaada plz.
 
Inawezekana wameamua kufanya replacement ya wazee wanaostaafu kwa kuweka vijana wasomi, watakaoendesha magereza kisasa. Tatizo la wasiosoma wanakuwa very manual na kunuia mateso. Huwa najiuliza magereza kwa nini iwe na kunguni? Wanashindwa kununua dawa na mabomba na kuwapa kazi wafungwa ya kupulizia?
Hivi kule nako kuna usomi? Unaweza kwenda kulea wafungwa in the mid if the bush...you create your own small world!
 
Inawezekana wameamua kufanya replacement ya wazee wanaostaafu kwa kuweka vijana wasomi, watakaoendesha magereza kisasa. Tatizo la wasiosoma wanakuwa very manual na kunuia mateso. Huwa najiuliza magereza kwa nini iwe na kunguni? Wanashindwa kununua dawa na mabomba na kuwapa kazi wafungwa ya kupulizia?

Ushaisikia mentality ya Sumaye ya "Gereza si Sheraton"? Ukiielewa hii utajua kwamba wale kunguni wanaweza kuondolewa kirahisi tu, wanaachwa pale kama sehemu ya mafunzo ya gereza.

Primitive!
 
Ushaisikia mentality ya Sumaye ya "Gereza si Sheraton"? Ukiielewa hii utajua kwamba wale kunguni wanaweza kuondolewa kirahisi tu, wanaachwa pale kama sehemu ya mafunzo ya gereza.

Primitive!

Sumaye naye, Kule kwa wachaga alisema...""Ukitaka biashara yako iwe na faida/iendelee basi jiunge/saidia CCM""
 
Back
Top Bottom