Nafasi za uhamiaji.

Scofield

Member
Mar 10, 2012
14
5
jAMANI NINA KA DIPLOMA KANGU KA 'I.C.T' NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA KAZI ILA IMESHINDIKANA,SO NIMEAMUA KUJIINGIZA KATIKA JESHI LA POLISI ILA NIMEPENDA ZAIDI MIGRATION,NAWAOMBA WADAU WOTE KWA YEYOTE ATAKAE SIKIA KAMA NAFASI ZIMETOKA ANIJUZE VILEVILE KAMA KUNA ANAEJUA VIGEZO VYAO NIJULISHENI ............
 
Kumbe kujiunga na jeshi la polisi ni last option?
Anyway, usijali mdau uwe unapitia pitia katika hili jukwaa naamini hata usipokuta posts za uhamiaji, unaweza ukakuta posts nyingine zitakazo kufaa pia.
 
Hahaha!kaka usiseme ilo coz hata roma kaimba kwenye tanzania tanzania kwamba"kimbilio kwa walio*** ni ualimu na upolisi...kaka hii ndio tz bana
 
Bro umepotea...if u think jeshi kwako ndo last hope...! kwa taarifa tu, last recruitment ya jeshi ICT department wamechukua more qualified people than u, na tena baadhi nlikuwa napiga nao dili pale Dar very experienced guys...so, unapodhani itakuwa rahisi...think again! u av got to b very very competitive this time round..popote, si jeshini tu! unless uingie general duty!!!!
 
Ndugu nilisikia kuwa safari hii migration watachukua watu walioko CCP moshi! Hebu endelea kufuatilia utajua tuu!
 
uhamiaji tanzania ni sehemu ya jeshi? ni sehemu zote za uhamiaji toka bandarini/uwanja wa ndege/mipakani hadi maofisini? nauliza ili nielimike maana sikuwa nafikiria hivyo.
 
Bro umepotea...if u think jeshi kwako ndo last hope...! kwa taarifa tu, last recruitment ya jeshi ICT department wamechukua more qualified people than u, na tena baadhi nlikuwa napiga nao dili pale Dar very experienced guys...so, unapodhani itakuwa rahisi...think again! u av got to b very very competitive this time round..popote, si jeshini tu! unless uingie general duty!!!!

Mentor nilikuwa nakutafuta sema ulipotea ghafla jukwaani, ni PM kuku wengi
 
uhamiaji tanzania ni sehemu ya jeshi? ni sehemu zote za uhamiaji toka bandarini/uwanja wa ndege/mipakani hadi maofisini? nauliza ili nielimike maana sikuwa nafikiria hivyo.

Idara ya Uhamiaji ni sehemu ya vyombo vya ulinzi na usalama. Huwezi kuwa Afisa Uhamiaji bila ya kupita nakufaulu mafunzo ya awali ya Uhamiaji ambayo yanajumuisha mafunzo ya kijeshi, ambayo kwa kawaida huungana na Polisi, JKT au Magereza katika mafunzo yao. utafanya mafunzo yote ya kijeshi kama majeshi hayo yanavyofanya ila mnatofautiana kwenye mafunzo ya darasani. Uhamiaji huajiri katika makundi matatu. form 4 lazima uwe na credit tatu na cheti cha lugha, sheria au kompyuta. Form 6 uwe na principle za kuingia chuoni, pia uwe na cheti au diploma ya i.t, sheria, uandishi wa habari, utawala au lugha. Na kundi la mwisho ni Graduate katika fani za sanaa. kama vile utawala, uchumi, ualimu, manunuzi, usafirishaji n.k

Kwa kipindi cha miaka miwili sijasikia ajira za Uhamiaji sababu utaratibu wao wa ajira huenda kutokana na nafasi zilizo wazi na kawaida huajiri si zaidi ya vijana 150. Nafikri umepata mwanga kiasi...
 
jAMANI NINA KA DIPLOMA KANGU KA 'I.C.T' NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA KAZI ILA IMESHINDIKANA,SO NIMEAMUA KUJIINGIZA KATIKA JESHI LA POLISI ILA NIMEPENDA ZAIDI MIGRATION,NAWAOMBA WADAU WOTE KWA YEYOTE ATAKAE SIKIA KAMA NAFASI ZIMETOKA ANIJUZE VILEVILE KAMA KUNA ANAEJUA VIGEZO VYAO NIJULISHENI ............
Mkuu pole
Uhamiaji hawaajiri watu wenye Diploma labda waanze sasa, kwa kawaida wanaajili Form Four, Form Six na Graduate wenye Degree na Advanced Diploma.
So unaweza ukatumia cheti cha Form four au Six

Ukisukia nafasi za kazi za magereza au polisi basi uje nao wanaweza kutoa maana hawana chuo wanategemea magereza au polisi wakichukua watu wao vyoni nao wanawaunganisha wao, mara nyingi idadi ni kama 50 to 100

uhamiaji tanzania ni sehemu ya jeshi? ni sehemu zote za uhamiaji toka bandarini/uwanja wa ndege/mipakani hadi maofisini? nauliza ili nielimike maana sikuwa nafikiria hivyo.

Uhamiaji ni Jeshi jina tu ila si kama majeshi mengine ya Polisi, Magereza na JWTZ
Hawapigiana saluti, hawaruhusiwi kushika silaha za moto wala pingu, hawashiriki magwaride ya kijeshi, rank zao tofauti kabisa kabisa na za majeshi mengine, hawafanyi kazi kwa command chain za kijeshi, wanatumia sheria za kazi za kiraia nk
Wanachofanana na majeshi ni kule kushiriki kwao mafunzo ya kijeshi CCP Mosh au Chuo cha Magereza Mbeya

Hivi sasa wapo kwenye mchakato wa kufaanywa jeshi rasmi kwa kubadilishiwa muundo wao wa vyeo nk, lakini ni raia kama kawaida
 
jAMANI NINA KA DIPLOMA KANGU KA 'I.C.T' NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA KAZI ILA IMESHINDIKANA,SO NIMEAMUA KUJIINGIZA KATIKA JESHI LA POLISI ILA NIMEPENDA ZAIDI MIGRATION,NAWAOMBA WADAU WOTE KWA YEYOTE ATAKAE SIKIA KAMA NAFASI ZIMETOKA ANIJUZE VILEVILE KAMA KUNA ANAEJUA VIGEZO VYAO NIJULISHENI ............

Labda utueleze kwa nini umependa migration?
 
Nowadays, Tanzania, we've got a great number of Educated workforce thus, having a diploma with a notion of "Last Resort" Tunadanganyana, au Ni kutoelewa Ni nini kinaendelea. Vijana wengi sana wamemaliza vyuo vikuu na bado wanahangaika kutafuta kazi. Wengine wako kwenye makampuni ya ulinzi binafsi... :lalala:
 
Back
Top Bottom