Nafasi za masomo Chuo Kikuu Huria

vidodi

JF-Expert Member
Sep 4, 2014
344
99
Chuo kikuu huria kupitia taasisi ya elimu za menejimenti na teknolojia (open University of Tanzania) kinawatangazia nafasi ya masomo ya certificate na diploma za ict pamoja na pre entry (kozi maalum ya kujiunga na certificate kwa miezi 3)Pia tunafundisha basic computer kwa wiki tano Ada 172,000, advanced computer wiki tano Ada sh 250,000,graphics design, Web Development, computer repair and maintenance, Cisco pia yanafundishwa kwa maelezo zaidi piga namba 0779888204 au 0777141565 au 0713305020 au 0778888390 au 0779888201 karibuni sana
 
mwaka jana nili apply kwa kutumia matokeo ya advance ambayo nilitumia kujiungia chuo course ada but hata sikujibiwa kitu nilichoona sio kizur kwan hata feedback kwanini sikuita ktk masomo sikupata,jirekebishen
 
Samahani mheshimiwa uliapply kupitia njia gani? Na Je nitajie chuo kikuu chochote ambacho ukiapply ukakosa wanakupa feedback kuwa umekosa nafasi?
 
Sasa hizo kozi mnafundishia wapi? Dar,Arusha,Mwanza au Mbeya? be specific mkuu

Mbeya katavi dar Kagera mwanza iringa singida Kigoma mtwara shinyanga manyara na rukwa. Arusha kuanzia mwezi wa nne tunafungua kituo. Natumai umenielewa kwa usahihi
 
Niliwahi sikia humuhumu JF Kua kwa mwanafunzi aliye
Chuo kikuu huria kupitia taasisi ya elimu za menejimenti na teknolojia (open University of Tanzania) kinawatangazia nafasi ya masomo ya certificate na diploma za ict pamoja na pre entry (kozi maalum ya kujiunga na certificate kwa miezi 3)Pia tunafundisha basic computer kwa wiki tano Ada 172,000, advanced computer wiki tano Ada sh 250,000,graphics design, Web Development, computer repair and maintenance, Cisco pia yanafundishwa kwa maelezo zaidi piga namba 0779888204 au 0777141565 au 0713305020 au 0778888390 au 0779888201 karibuni sana
niliwahi sikia humuhumu JF kua mwanafunzi aliyemaliza form four mwenye D zaidi ya tano anaweza akaaply na anapata nafasi ya kusoma ngazi ya Diploma.Vipi hii inakuaje kwa upande wenu?! Na Ada zipoje?!
 
Sasa mm ni mtumishi wa kuajiriwa serikalini, je ninaweza kusoma wakati wa likizo ya mwz wa Sita au kumi na mbili
 
Back
Top Bottom