deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 417
Salaam wana JF
Naomba kuulizia kuhusu hizi nafasi za walioomba kujiunga na vyuo vya ualimu (Certificate level) kwa waliomaliza form IV. Nimejaribu kuangalia threads zingine naona ni nafasi za Stashahada tu zimetoka, lakini hawa walioomba kwa ngazi ya Certificate kwa kweli sijaona. Nafasi nilimuombea mdogo wangu hivyo namsaidia kufanya follow up.
Natanguliza shukurani.
CC. lusungo

Last edited by a moderator: