Nafasi za kujiunga na jeshi,jwtz

Nani kakwambia jeshi wanatumaga applications tu, ndio nyie mnaowaponza wenzenu!

Ww acha uongo,una apply km kawa wakitangaza,mi mdogo wangu yupo huko....baada ya kumaliza chuo aliomba na wakafanyiwa usaili(ila hapo uwe na m2 wa kukingia kifua,kimemo)then mnaingia mzigon hapa2 dar,then mnachujwa ss kwa ajili ya kwenda monduli,huko nako mafunzo yake c mchezo,ukipita hapo monduli baaaaas una nyota zako 2,ila ni kazi
 
.............Naomba mwenye taarifa kamili ni lini JWTZ watatangaza/hua wanatangaza nafasi za kujiunga na jeshi kwa proffesionals!!!!!!

msaada jamani,natamani sana GWANDA!!!

professional tusubiri ila nxt wk march4 jkt wanaingia.
 
mi nlienda kwenye mchakato wakaniambia c lazma wote tuwe wanajeshi,nkanyimwa huku naona wengne wanapewa,Eti wanita KANITUMA BABA ndo hao wakifika cku kadhaaa anakimbia
 
Back
Top Bottom