Nafasi za kujiunga na jeshi,jwtz

georgei

Senior Member
Oct 14, 2009
110
8
.............Naomba mwenye taarifa kamili ni lini JWTZ watatangaza/hua wanatangaza nafasi za kujiunga na jeshi kwa proffesionals!!!!!!

msaada jamani,natamani sana GWANDA!!!
 
Duh! Kweli vijana mmeamua, post kuhusu Jwtz hazikosi humu. Anyway tuvute subra mpaka watakapo tangaza!
 
.............Naomba mwenye taarifa kamili ni lini JWTZ watatangaza/hua wanatangaza nafasi za kujiunga na jeshi kwa proffesionals!!!!!!

msaada jamani,natamani sana GWANDA!!!

unapenda kuvaa gwanda au ndo shida ya ajira ukaona option ni gwanda????
 
Jamaa ukipata huko jwtz kama una degree nyota mbili zinakuhusu,posho,na posho ya taaluma utajenga ndani ya miaka mitatu
 
Vijana nafasi zitatoka tu. Msidanganywe na hao wanaosema watu wanatuma barua kimyakimya makao kipindi hiki. Ni uzushi mtupu Barua hizo hao wanajifurahisha tu, tangazo likitoka tutaitwa tu huko Kunduchi kufanyiwa vipimo na kukimbizwa.
 
siku hizi ajira ya JWTZ inapendwa!!naona watz wamechoka kuwa mbwa ulaya
 
Habari wana jf,mbona jwtz walishachukua professional toka july 17 mwaka huu wapo mlale songea na hyo ilikuwa ni kimyakimya na washkaji wawili wapo huko ss hv ni miez mitatu ss ishapita.
 
Kwanini lakin kunafanywa vitu vya siri sana wakati watu walio tuma application wanajua bado kiukweli nchi ishauzwa
 
.............Naomba mwenye taarifa kamili ni lini JWTZ watatangaza/hua wanatangaza nafasi za kujiunga na jeshi kwa proffesionals!!!!!!

msaada jamani,natamani sana GWANDA!!!

subiri vita na malawi zitapatikana kwa wingi na kama unahamu na gwanda hamia chadema..
 
Nafasi kwa mwaka huu tayari zilishatoka na Interview zilishafanyika kwa Bachelor Computer,Telecom and Electrical zilifanyika DIT mwishoni mwa mwezi wa nane na tayari walichaguliwa zaidi ya 200 waliofaulu mitihani miwili (Oral+ written) na tayari wapo CCP moshi kwa mafunzo ya awali kwa hiyo jaribu mwakani unaweza kubahatika maana wanatakiwa wengi zaidi ktk hizo professional
 
Wewe uliyesema habari za CCP nadhani una matatizo ya ubongo, maana wenzio wanauliza habari za JWTZ na sio Polisi.

Hata hvyo, jwtz walifanya recruit ktk categories mbili:
1. Vijana waliomaliza kidato cha 4 na 6, nafasi zilitangazwa kati ya May na Juni; na

2. Vijana wenye talents za kucheza ngoma, muziki etc, waliomaliza darasa la saba and above, ilitangazwa kati ya Juni na July.

Graduates not recruited from public.

N:B, Nafasi
 
Vijana nafasi zitatoka tu. Msidanganywe na hao wanaosema watu wanatuma barua kimyakimya makao kipindi hiki. Ni uzushi mtupu Barua hizo hao wanajifurahisha tu, tangazo likitoka tutaitwa tu huko Kunduchi kufanyiwa vipimo na kukimbizwa.

Ila usisahau Jeshini kuna Birth Day Suit.Jiandae kwa hilo mkuu
 
Back
Top Bottom