Nafasi za kazi

Cotan

Member
Feb 11, 2010
72
11
NAFASASI ZA AJIRA

TUNAAJIRI VIJANA WENYE STASHAHADA NA CHETI KATIKA FAINI ZA BIASHARA. KAZI ZIPO ZA AINA MBALIMBALI KAMA:
SALES MANAGEMENT, SHOPKEEPING, PURCHASES MANAGEMENT, STORE KEEPING , & CUSTOMER RELATIUONS

TUMA CV YAKO KWA WAKALA WA AJIRA. E-MAIL: mukyarugaba@gmail.com

TEL :0712 792341

Company name kaka au ndo hivyo tena hata hivyo tunashukuru kwa taarifa ngoja tujipange
 
company name kaka au ndo hivyo tena hata hivyo tunashukuru kwa taarifa ngoja tujipange

mkuu. Campany name ya nini tena?. Wewe kama unasifa na unahitaji ajira tuma maombi .au kama unataka maelezo zaidi piga simu.
 
acha jazba mkuu weka company name acha kufanya mambo kilocal local.....hata kama ndio vile mnatembeza vyombo vya cello barabarani lakin i am sure kampuni yenu ina jina, u wont lose a limb ukiandika jina la kampuni yenu:nerd:
 
Hii itakuwa ile ya kutembeza biashara mtaani

unadharau kazi!. Tatizo letu wa tz tunadharau sana kazi, lakini mkienda ulaya mko radhi kuosha vyombo ila mkirudi hapa mnaanza kuchagua kazi.

Mkuu mimi sioni haja ya kuweka majina ya makapuni yanayohitaji hao wafanyakazi, kwa mwenye nia na mwenye vigezo tajwa omba kazi. Najua wengi wenu mnapenda sana kuajiriwa BOT,TRA,NSSF, nk ndo maana mko radhi kukaa hata miaka 5 bila kazi eti unasubiri kuajiriwa TRA !.
 
sio kuzarau degree yako uliyonayo nenda katembeze vyombo
 
Haya masuala ni nyeti jamani. Hata mimi naweza kuandika hivyo nikaweka hapa. Mimi juzi kati yalinikuta nilionakazi hapa kama kawaida nika4ward application na cv, baada ya mda nikapigiwa simu wewe (....) umeomba kazi (........) nikasema ndio basi nikaambiwa fanya uje. Nikaenda kesho yake na kwakua sikupafahamu ile compuni ilipo nikapiga ile no.jamaa akasema nisubiri hapo nakuja.nilisubiri hadi siku yangu ikaishia pale nikamsms japo c vzr nikapanda gari nikarud hm. Hata ckumwambia mtu yoyote yaliyonipata huko so nachotaka kusema mijitu kama hii bora tuitwe wazururaji kuliko kuipa cv zetu.mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mkuu, kwanza pole kwa yaliyokukuta, Ni kweli usaniii upo takiribani katika kila nyanja ya maisha.Lakini sio kila jambo ni utapeli. Tangazo langu la ajira sio la kisanii (kitapeli) kweli tunahitaji watu kwaajiri ya kazi.Kuto kuweka majina ya kampuni husika kisiwe kigezo cha kuonekana kuwa ni tangazo la kisanii.huu ni uamuzi wa kampuni husika.

Narudia tena kwa mwenye nia na kazi tuma CV,yako wala usiogope kwani huwezi kutapeliwa kwa njia hii. Wala kazi sio ya kuuza vyombo kama baadhi ya wachangiaji walivyosema. kumbuka MWENYE SHIBE HAMJARI MWENYE NJAA.TUMA CV YAKO USIOGOPE.

Karibu.
 
mkuu. Campany name ya nini tena?. Wewe kama unasifa na unahitaji ajira tuma maombi .au kama unataka maelezo zaidi piga simu.

we b.w.e.g.e kweli..sasa hayo maombi natuma bila kujua company name??
 
NAFASASI ZA AJIRA

TUNAAJIRI VIJANA WENYE STASHAHADA NA CHETI KATIKA FAINI ZA BIASHARA. KAZI ZIPO ZA AINA MBALIMBALI KAMA:
SALES MANAGEMENT, SHOPKEEPING, PURCHASES MANAGEMENT, STORE KEEPING , & CUSTOMER RELATIUONS

TUMA CV YAKO KWA WAKALA WA AJIRA. E-MAIL: mukyarugaba@gmail.com

TEL :0712 792341

hzi ndo kazi za..naitwa...dawa hii ya meno...inatibu...mweh! Taja jina wa2 waombe,kwi kwi kwi!
 
we b.w.e.g.e kweli..sasa hayo maombi natuma bila kujua company name??

Mkuu.mimi huwa sisumbuliwi na watu wenye tabia ya kutukana kama yako. najua hapa jf kuna baadhi yenu mna degree za matusi.

NB kwa anyehitaji kazi tuma maombi tu.
asante.
 
Mkuu omba mwenyewe hy kazi, au tafuta ndugu zako uwapeleke kufanya. Unatabembelezaje watu kuomba kama hawataki?! Usifikiri humu raia ni wapumbavu hata kama hawana kazi.
 
Haya masuala ni nyeti jamani. Hata mimi naweza kuandika hivyo nikaweka hapa. Mimi juzi kati yalinikuta nilionakazi hapa kama kawaida nika4ward application na cv, baada ya mda nikapigiwa simu wewe (....) umeomba kazi (........) nikasema ndio basi nikaambiwa fanya uje. Nikaenda kesho yake na kwakua sikupafahamu ile compuni ilipo nikapiga ile no.jamaa akasema nisubiri hapo nakuja.nilisubiri hadi siku yangu ikaishia pale nikamsms japo c vzr nikapanda gari nikarud hm. Hata ckumwambia mtu yoyote yaliyonipata huko so nachotaka kusema mijitu kama hii bora tuitwe wazururaji kuliko kuipa cv zetu.mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

daaah,pole cna it real pain mkuu 2nafind job 2nateska bt yataisha 2,hyo ni total harusmnt hat mm cnge mtel m2
 
mimi sioni haja ya kubishana na kutupiana maneno,kama unaona huhitaji kuapply kaa kimya wapo wanaotafuta hata hizo za kutembeza vitu kuliko kukaa kuuza mwili,hebu kueni na stara mtu anapoandika kitu au kutoa maoni kama unaona hayakuhusu achana nayo sio uanze kutoa maneno ya kipumbavu,damn
 
NAFASASI ZA AJIRA

TUNAAJIRI VIJANA WENYE STASHAHADA NA CHETI KATIKA FAINI ZA BIASHARA. KAZI ZIPO ZA AINA MBALIMBALI KAMA:
SALES MANAGEMENT, SHOPKEEPING, PURCHASES MANAGEMENT, STORE KEEPING , & CUSTOMER RELATIUONS

TUMA CV YAKO KWA WAKALA WA AJIRA. E-MAIL: mukyarugaba@gmail.com

TEL :0712 792341

hahahaha tapel mkubwa siuseme unataka vyet?elim haina short cut,hu2pat ng'o imekula kwako ww unadhan ss ma bweg ka ww?sasa hyo barua ya maombi 2tai4wrd wap ka ww si tapel wa vyet?au 2andke barua ya KIRAFIKI?UKOME NA HUM NDAN USEPE ZAKO COZ UTA2IBIA
 
mimi sioni haja ya kubishana na kutupiana maneno,kama unaona huhitaji kuapply kaa kimya wapo wanaotafuta hata hizo za kutembeza vitu kuliko kukaa kuuza mwili,hebu kueni na stara mtu anapoandika kitu au kutoa maoni kama unaona hayakuhusu achana nayo sio uanze kutoa maneno ya kipumbavu,damn

Sio maneno ya kipumbavu, ila ni kuwashtua na wengine ambao hawajafikiria aina nyingine ya utapeli na kupotezeana muda na cost bila sababu. Katika hali ya kawaida hata wewe kwenye issue ka hy cover letter utaandikaje wakati haujui kazi unayoomba wala jina la kampuni. Ok ka kweli wakikuita kwenye interview utajibu nini wakati hauijui kazi yenyewe wala jina la organization.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom