Nafasi za kazi

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
kwa wale wanaotafuta kazi njooni tufanye kazi katika muda wetu wa ziada kadri hunavyofanya kazi ndivyo kipato kinaongezeka njoo TIENS Msasani karibu na shule ya msingi msasani B njoo j5 saa 5 kwa mawasiliano piga +255718064602
 
Kazi ya aina gani, jinsia gani,umri wa miaka mingapi jibu tafadhali?
kazi ya kujiajili mwenyewe lakini kampuni inakulipa kwa kazi yako na utapata elimu ya namna ya kuifanya kwa njia ya mtandao (MLM) haijalishi umri elimu wala njinsia ni kwa yeyote. njoo j5 usikilize
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom