Nafasi za kazi za mining

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
5,683
6,484
Habarini ndugu zangu! nawaombeni kwa mtu yeyote aliye na update za nafasi za kazi za mining naombeni anijuze! nina Diploma in mining engineering and Iam able to work on both surface and underground mines! Kwa atakaefanikisha ndoto zangu 45% of my first salary tutagawana! hii sio hongo ila ni kutokana na hali tete na ugumu wa ajira!

natanguliza shukrani.......
 
Kazi.jpg

Shindwa mwenyewe sasa.
 
mkuu nakuombea kwa mungu utapata tu usijali.
 
Jaribu kuwa unasoma magazeti ya Daily news , mtanzania, mwananchi wanajitaidi kutoa matangazo ya kazi
 
nchi hii watu wake wamejaa mawazo ya rushwa sana ..yaani mtu kukupa tangazo la kazi unajitolea 45% ya salary yako umpe!! hivi nyie watu mkoje ...sasa unampa 45% ya mshahara wako kwa ajili gani yaani?badilikeni watanzania
 
jaman roho inauma ,pale nafasi inauzwa kwa watoto wa mabosi makapuku wafanyeje?2tafika wkt hawana vigezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom