Dear coleagues
Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.
Hata mwezi haujaisha mnataka muitwe kwenye interview daima kazi yoyote hadi kufanyika interview lazima ichukue miezi miwili au mmoja na nusu.
Dear coleagues
Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.
Dear coleagues
Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.[/QUOTE
walishaitwa kwenye interview ila kwa upande wa kaz bado sijafahamu]
Kuna msela wangu aliitwa kwenye interview walifanyiwa na delloite pale ppf tower wamemuambia baada ya wiki 2 asubirie kama atakuwa amefanikiwa.....Wiki 2 bado mpaka sasa je we mwenzetu uliomba nafasi ipi?
umenena jaym, let's wait!! Muda ukifika ukaueleza wana jf itakuwa poa sana....!
ngelemakumulu nafikiri hawajaita japo dah! Siku zimekwenda xana na waliohudhuria bado matumbo moto. Jaym ulisema utatoa update- tupe ripoti mkuu
mzee wa njaa, wiki mbili zilishapita... washikaji walioitwa kwenye interview walienda tarehe kumi na saba...