Nafasi za Kazi Utumishi

Hivi kwa sie ambao hatujapata Vyeti Original vya CHUO (bado havijatoka) tunafanyaje wakuu
 
Jaman anaye jua ku apply online tujuzane mana kila nikijaribu wananiambia niweke password na email na nikiweka inagoma ni ki creat stil inazingua

Bonyeza 'Register' kisha ingiza hiyo email na vinginevyo....kwa maelezo zaidi download 'Recruitment Portal User Manual' inapatikana website ya utumishi
 
Back
Top Bottom