Nafasi za kazi utumish kazi ipo

mbaya zaidi interview Dar, kituo cha ajira Songea au Kigoma, muombaji yuko kijiji cha Mpitimbi Namtumbo Songea!!!!""
 
Mnaacha kutafuta visenti mnahangaika kutafuta kazi! utakufa bila kupata kazi, daah kweli yimbombo yilipo!
 
mkuu huo ni mradi wa serikali siku hizi watu wameaacha kuandika barua,sasa kwa kuwa wafanyakazi wa posta kitengo cha barua bado wanaendelea kulipwa mshahara watu wa marketing katika shirika la posta wamekuja na hiyo marketing strategies kwa msaada wa sekretariati utumishi wa umma.Hivyo kaa chonjo mkuu,Fikiri naishi kigamboni lakini siruhusiwi kupeleka barua pale utumishi lazima ipitie posta kisha kwa bajaji mfanyakazi wa posta anazipeleka pale utumishi....Tanganyika kiongozi zaidi ya uijuavyo.

sidhani kama kuna ukweli sana katika hili!,
shirika la posta kama shirika linafanya kazi/biashara nyingi tu ukiacha na kutuma/kupokea barua ambazo linaliingizia shirika kipato.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom