Nafasi za kazi United Nations

kinetiq01

Member
Aug 25, 2006
49
0
Ndugu zanguni, hapa chini ni mkusanyiko wa baadhi ya ajira za Umoja wa Mataifa ambazo ziko ndani ya uwezo wa walio wengi. Ikiwezekana mshitue mwingine na mwingine amshtue mwenzie...hakuna kujuana - ni uwezo wako tu. Muhimu ni kujaribu, yatakayofuatia baadaye ni majaliwa.

Public Information Officer, UN Information Centre, Nairobi, P-4

Language Reference Assistant, G-5

Document Assistant G-6

Head of Design and Publications, P-3

Political Affairs Officer, P-3

Kwa yeyote anayefikiria kuomba kazi UN, post za G, ni kwa national tu, kama nafasi ipo Kenya, basi ni mkenya tu anayeweza kuomba hiyo kazi.
 
Freetown kama ulikuwa ukijua mbona hukuweka hizo ajira kabla tuzione? Au ndiyo ulidhani kila mtu anajua zinapatikana wapi...
 
Kwa yeyote anayefikiria kuomba kazi UN, post za G, ni kwa national tu, kama nafasi ipo Kenya, basi ni mkenya tu anayeweza kuomba hiyo kazi.

freetown, post za g sio kwa nationals tu bali ni kwa waombaji wanajulikana kama "locals" yaani wakazi wa nchi lilipo shirika. mfano kwa mashirika ya un yaliyopo kenya mtu yeyote ambae anaishi kenya kihalali anaweza kuomba akapata ila ataajiriwa kama "local staff" na sio "international staff".
 
Freetown kama ulikuwa ukijua mbona hukuweka hizo ajira kabla tuzione? Au ndiyo ulidhani kila mtu anajua zinapatikana wapi...

Samahani kwa kutoweziweka mapema na pia nilifikiri wengi wenu mnajua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom