nafasi za kazi tra,

backer

Member
Dec 22, 2010
86
8
hizi nafasi za kazi tra bado hawajaanza kuita aplicant? kama kuna mtu mwenye taarifa nazo tujulishane jamani.
 
Ndugu yangu nadhani wameshafanya interview na wameshaanza kazi. Ndugu yangu wa karibu anayefanya kazi TRA alinijulisha jana kuwa dada yake ameanza kazi pale Airport kama Assistant preventive officer. Kama uliomba nafasi hizi basi zimeshajazwa.
 
Back
Top Bottom