Nafasi za kazi tanzania

justdoit

Member
Sep 2, 2009
63
4
Pata kazi na KAZImobile kwa kutumia simu yako ya mkononi...

Kujiunga ni Rahisi sana..

Andika neno KAZI( acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotafuta halafu utume kwenda 15522.

Mfano: Kama unatafuta kazi ya Customer Care andika KAZI CUSTOMER CARE na utume kwenda namba 15522.

Punde utaanza kupokea nafasi za kazi uliyoomba. Kujitoa Andika neno KAZI(acha nafasi) ikifuatiwa na neno ONDOA na utume kwenda 15556.

Ukitaka kupata kazi bila kujiunga andika neno KAZI(acha nafasi) ikifuatiwa na herufi S (acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotaka na utume kwenda 15522.

Gharama ya kujiunga(ambayo hutozwa mara moja) ni shilingi 250 tu pamoja na VAT, na kila kazi utakayotumiwa utachajiwa shilingi 150 tu pamoja na vati.

Masharti na vigezo kuzingatiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom