nafasi za kazi SUA

nini kingine kinatakiwa? inaonekana wewe unafanya kazi SUA...

Kwanza mimi sifanyi kazi SUA,ni kweli GPA tu haitoshi,jamaa wanatafuta academic staff na mtu anaenda ni kweli ana GPA nzuri lakini ana "Poor communication skills "sasa huyo atapataje kazi,hicho ni moja tu ya sababu ingawa ziko nyingi naamini humu kuna ma-maneja uajiri watani saidia pia.
 
Msiwatishe wenye Qualification zao kuomba kazi, wewe hata hujaomba unasema oooh kuna upendeleo acha maneno mingi hayo. Kazi ikitangazwa wewe omba ukiwa short listed nenda kaonyeshe ubora wako uwashawishi watu wakupe kazi sio kulalamika kabla.
 
NIMESOMA BSc YANGU HAPO SUA NAOMBA MSIKIMBILIE KABISA KWANI KUNA IDARA ZA "WAHAYA", "WACHAGA" NA "WAHEHE" SASA SIJUI UJUZI WAKO UMELALA IDARA GANI.

I KNOW THEM VERY WELL
 
NIMESOMA BSc YANGU HAPO SUA NAOMBA MSIKIMBILIE KABISA KWANI KUNA IDARA ZA "WAHAYA", "WACHAGA" NA "WAHEHE" SASA SIJUI UJUZI WAKO UMELALA IDARA GANI.

I KNOW THEM VERY WELL

Lazima itakuwa kwa wahehe tu,leteni maombi kama sifa mnazo nitawafikiria wanagu oops!
 
huyo mdogo wako ni he au she?

Ni HE. Alisoma SUA mifugo na baadaye akabadili kabisa field. Akaenda kusomea sheria akakatiza. Akafanya kazi kwa muda ili kuvuta muda na baadaye akaacha na kwenda SUA. Sasa hivi ninaposema yeye ni Mwalimu wa SUA tayari.

Ingelikuwa miaka ileee, ningelisema ni Marehemu dada yangu kamfanyia mpango. Ila sasa hivi kwenye familia ni YEYE anawafanyia watu mipango. Ila katika ile anga, hata yeye alikuwa PEKE YAKE.

Ila kilimsaidia ni kitu kimoja. Hilo somo atakalofundisha, SUA walikuwa hawana Mwalimu. Walijitahidi kumlima maswali ya sehemu tofauti tofauti. Ila hawakufahamu kuwa jamaa pamoja na kusomea Mifugo, alikuwa pia kafanya kozi chuo cha ushirika Moshi na akasomea sheria hadi sijui mwaka wa pili. Sasa kila wakitaka kumkamata, aliwapeleka kwenye mambo ya SHERIA ambako walimu wengi wa SUA hawana mwanga na huku akitoa au kutumia mifano mambo ambayo SUA wako mbioni kuyafanya ila hawaelewi vizuri ni kitu gani. Kwa haraka haraka nisema kwamba aliwaacha kwenye mataa na ikabidi tu wampe nafasi.

Sasa kukata tu tamaa vila kujaribu si sawa. Unaweza kuwa kama mdogo wangu na wewe ukachaguliwa. Kabla hajapata kazi SUA, alikuwa hajawahi kwenda Ulaya hata siku moja. Kasoma na kumaliza shule na vyuo vya Tanzania. Wanaotoka Ulaya nafikiri kinawasaidia ni KUJIAMINI. Wakirudi Tanzania huwa wanajiamini kupita kiasi. Sasa aliyemaliza SUA sijui UDSM akiwaona hao Maprofresa au Madokta anaanza kutetemeka. Hii naisema kwa kutumia uzoefu wangu mwenyewe. Tangu nirudi Tanzania, naongea na kila aina ya msomi/tajiri bila ya kujali yeye ni NANI. Complex imeisha kabisa. Na kama sikosei mdogo wangu hii kitu pia anayo. Hana complex kwa mtu yeyote na labda ni mazingira aliyokulia.

Jamani mkienda Interview, msihofu kabisa. Fanya kama vile unafahamu kuwa HUPATI. Utakuwa more relaxed na kujiamini sana. Ukifanya kwa imani "LAZIMA NIPATE" hiyo ndiyo huwa inaanza kuleta wasiwasi "ila nikikosea ndiyo basi". Tujiamini na milele ujifunze kusema "liwalo na lile", mlango mmoja ukifunga, mingine 10 inafunguka na mwisho "mgaa gaa na upwa, hali wali mkavu. Pigania ila ukikwama, usikate tamaa, life goes on.
 
Nenda NMB ukalambe shavu mkuu...Pale ukitoka Mbele(Ulaya) unapapatikiwa kama mfalme mswati vile....


Mkuu, soma maelezo yangu hapo juu. Kama ulikimbia eti kwa sababu mwanamke kakutawala basi inaonekana kweli Tanzania kuna kazi nyingi maana hadi mnachagua. Ila kungelikuwa hakuna, ungelia naye hadi maboss wakuone ukali wako.
 
si kweli kaka labda hujatambua thamani yako, ukienda kwenye mabenki watu wa mbele wanapapatikiwa kinoma hata kama unadiploma, mimi niliacha bank bcoz of that...niliona dharau yani mtu umepiga shule kinoma na mambo unayapeleka kinoma alafu kanakuja kadem eti kamesoma diploma ya IT security kanakua ka-incharge af kanakula mawe ya maana...
damt nikasepa nikaenda kwa watu wanaovalue professionalism.

Kaka hivyo videmu vinatoa vyote ndio maana wanapata hizo nafasi, wengi wao ni mao-opportunistic kwa hiyo mabosi nao wanajua kwamba ni mapoozeo.
 
Kwanza mimi sifanyi kazi SUA,ni kweli GPA tu haitoshi,jamaa wanatafuta academic staff na mtu anaenda ni kweli ana GPA nzuri lakini ana "Poor communication skills "sasa huyo atapataje kazi,hicho ni moja tu ya sababu ingawa ziko nyingi naamini humu kuna ma-maneja uajiri watani saidia pia.
lecture na communication skill gani? ni material tu unayaweka hapo PP au ubaoni unaeleza logic tu mengine wanasoma wenyewe kwani ni watoto au ni politics?
 
Mdogo wangu bila kuwa na MTU YEYOTE wa kumsimamia, kapata kazi SUA.

Na tena cha AJABU ni kuwa wao ndiyo walimlilia. Anyway, labda ana bahati zake.

Jaribuni na nyie mwaweza kuwa kama yeye. Mgaa gaa na upwa...
mdogo wako anaitwa nani?
 
suala la kujua hatukatai lipo karibu kila mahala si sua tu ila mtegemee Mungu iko siku watakosa kisingizio na utapata ajira keep on applying
 
suala la kujua hatukatai lipo karibu kila mahala si sua tu ila mtegemee Mungu iko siku watakosa kisingizio na utapata ajira keep on applying
ngojangoja yaumiza matumbo....
 
Mkuu, soma maelezo yangu hapo juu. Kama ulikimbia eti kwa sababu mwanamke kakutawala basi inaonekana kweli Tanzania kuna kazi nyingi maana hadi mnachagua. Ila kungelikuwa hakuna, ungelia naye hadi maboss wakuone ukali wako.


Kaka kaka mi nipo nondo sana kwenye fani yangu...kuondoka kwangu pale kuliiweka matatani kazi ya incharge wangu... believe me huyo dem kapiga diploma tu, ww kama unamtu hapo NMB ulizia skendo za kifuska za hiyo bank...am sure hata humu kuna staff wa hapo...as am writing now nimepata offer ya ajira nokia-seamens(middle east-africa) ningekuwa kilaza nsingeweza kupata ajira pande hizo mkuu...

Kuhusu kulia ili mabosi wangu wanione ukali wangu, sina haja ya kulia wakati nina miliki vilivyo fani yangu na vyeti ninavyo tena visafi na vya ukweli kutoka recognized universities so ukimwaga mboga namwaga ugali...
 
kanakuja kadem eti kamesoma diploma ya IT security kanakua ka-incharge af kanakula mawe ya maana...
kadem kalikukimbiza mzigoni, lol
 
Back
Top Bottom