nafasi za kazi SUA

hawa jamaa wanatangaza kazi wakiwa tayari wana watu ambao wamewaandaa, msijisumbue haswa mlio mbali unless wawe wamewaita individualy, wako kiaina sana
 
Hawana tofauti na jamaa wa BOT!
 
Sehemu nyingi Bongo ndio hivyo...................kujuana tu, no professionalism......mimi nilkuwa Bongo kwa muda lakini nikarialise ndivyo ilivyo.

Halafu na haswa sisi tuliokaa muda mrefu Ughaibuni na kusoma na kufanya professional jobs (sio kubeba box), ndio kabisaa wanatuona kama threat kwao due to exposure tulionayo
 
This is not true! Absolutely illusions..
 
Hawana tofauti na jamaa wa BOT!

Hata tanesco mchezo ni huo huo, tena wale ndo nux wanatangaza, wanawaita,wanawaintavyu alafu wanawabwaga wote mnaanza kujiuliza nani kaajiriwa? mkienda HR mkaongea fresh na mtu kiushikaji anawapa full kwamba pale mlikua mnakamilisha procedure lakini mwenyewe mbona kaanza kazi mwezi sasa....unaishiwa nguvu....! Tanesco wanakua wakweli pale tu wanapochukua group la graduates pale mlimani lakini hizi za kujitokeza sahau....
 
Sehemu nyingi Bongo ndio hivyo...................kujuana tu, no professionalism......mimi nilkuwa Bongo kwa muda lakini nikarialise ndivyo ilivyo.

Halafu na haswa sisi tuliokaa muda mrefu Ughaibuni na kusoma na kufanya professional jobs (sio kubeba box), ndio kabisaa wanatuona kama threat kwao due to exposure tulionayo

si kweli kaka labda hujatambua thamani yako, ukienda kwenye mabenki watu wa mbele wanapapatikiwa kinoma hata kama unadiploma, mimi niliacha bank bcoz of that...niliona dharau yani mtu umepiga shule kinoma na mambo unayapeleka kinoma alafu kanakuja kadem eti kamesoma diploma ya IT security kanakua ka-incharge af kanakula mawe ya maana...
damt nikasepa nikaenda kwa watu wanaovalue professionalism.
 
kuna jamaa yangu ana BSC 3.8 GPA na MSC 3.9 GPA, amesha apply hapo SUA mara 4 na ameambulia patupu...sasa hivi amelamba kazi serikalini katulia. SUA hakufai kabisa....
 
Ndio kitu gani hicho?
 
Ebu taja ni Bank gani hiyo mkuu!!
 
kuna jamaa yangu ana BSC 3.8 GPA na MSC 3.9 GPA, amesha apply hapo SUA mara 4 na ameambulia patupu...sasa hivi amelamba kazi serikalini katulia. SUA hakufai kabisa....
Wewe nani alikwambia GPA ndo kigezo cha kupata kazi?
GPA tu haitoshi jamani watanzania...
 
Mdogo wangu bila kuwa na MTU YEYOTE wa kumsimamia, kapata kazi SUA.

Na tena cha AJABU ni kuwa wao ndiyo walimlilia. Anyway, labda ana bahati zake.

Jaribuni na nyie mwaweza kuwa kama yeye. Mgaa gaa na upwa...
 
Sehemu nyingi Bongo ndio hivyo...................kujuana tu, no professionalism......mimi nilkuwa Bongo kwa muda lakini nikarialise ndivyo ilivyo.

Halafu na haswa sisi tuliokaa muda mrefu Ughaibuni na kusoma na kufanya professional jobs (sio kubeba box), ndio kabisaa wanatuona kama threat kwao due to exposure tulionayo

SUA, UDSM, TANESCO, BOT, CRDB yote ndugu moya, uwe unatoka ulaya au uko hapa hapa. Bila back contacts au sir name yako iwe kama ya politico heavy weight, unapoteza muda.
 
Hapa Bongo criteria ya kupata kazi, ni "who do you know and not what do you know"
 
Mdogo wangu bila kuwa na MTU YEYOTE wa kumsimamia, kapata kazi SUA.

Na tena cha AJABU ni kuwa wao ndiyo walimlilia. Anyway, labda ana bahati zake.

Jaribuni na nyie mwaweza kuwa kama yeye. Mgaa gaa na upwa...
huyo mdogo wako ni he au she?
 
Back
Top Bottom