Nafasi za kazi stationery na printing shop, Dar es Salaam

Donnah

Member
Oct 31, 2010
37
19
kunahitajika wafanyakazi wawili wenye uzoefu wa kazi za stationery, kama ifuatavyo, typing, binding, lamination, scanning, printing na photocopy.

ujuzi wa computer (ms word, excel, publisher na power point,).

Pia kwa mwenye kujua graphic design program kama adobe illustrator, photoshop na quack express atapewa kipaumbele zaidi.

Lugha: ajue kiswahili na kingireza pia kutokana na kwamba idadi ya wateja ni watu wa mataifa mengine pia.

Vigezo: wanahitajika watu wanaojua kujituma na kufanya kazi kwa bidii.

Mshahara: Tsh. 200,000 kwa mtu wa stationery na mwenye ujuzi wa graphic design Tsh. 250,000/=

Mahali: Dar es Salaam, Masaki

TUTUMIE BARUA YA MAOMBI, CV NA NAKALA YA VYETI VYAKO KWENDA: mcpstanzania@gmail.com

Wachache watakao chaguliwa watajulishwa siku ya kuja kwa interview.
 
Nipo vizuri kwenye printing na Typing,lakini cheti mmmhh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom