Nafasi za kazi polisi na magereza

acha ujinga wewe kama huna cha kumjibu kaa kimyaa
Jipu, jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza ndugu yangu.

Inavyokuwa:

JKT - usaili wao unaanza kabla ya wengine

Form 4 & 6 - Wanafuata

Profefessionals - last! halafu hawa wanakuwa recruited as per need..sio kwa mkupuo tena. Yaani unaweza kuajiriwa kama raia kwanza then muda wa kwenda depo ukifka wanaenda na wenzao.

Ndiyo maana nikamuuliza..now Mr. sir Jipu...ujinga wangu ni upi!:nono:
 
Last edited by a moderator:
Polisi wametoka kuajiri mwaka jana october kwanzia diploma mpaka degree, wapo kambini moshi ndo wanamalizia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom