Nafasi za kazi- nsagali co ltd

Tirus

Member
Nov 9, 2010
50
13
NAFASI ZA KAZI NSAGALI CO LTD .SLP 167 MWANZA-TANZANIA.

Tunayo fursa ya kutangaza nafasi ya kazi, fursa hi ni kwa wale wote waliomaliza Darasa la Saba, Kidato cha nne, kidato cha sita, chuo kikuu na kukosa Ajira, wawe ni watu wa kujituma na kufanya kazi kwa bidii, wasiwe wabinafsi.
Aina ya Kazi: Afisa Masoko (Sales and Marketing)
Idadi Ya watu:Nafasi moja (1) kwa kila Wilaya na Mkoa Tanzania nzima
Malipo:ya kuridhisha
Wahi sasa nafasi ni chache (First come First serve)
Tuma maombi yako au piga simu kwa anwani ifuatayo:
Cyrus T.J Okolah Omolo
HRM / Networking Coordinator
Nsagali Co Ltd.-Vodacom M-pesa / Airtel Money Aggregator.

P.O.Box 167 Mwanza-Tanzania

Website: under construction
E-Mail: cyrusomolo@gmail.com
Yahoo Messenger: cyrus_international
MSN Mesenger: cyrusomolo
Skype: cyrus_international

Facebook Name: Cyrus Okolah Omolo

Phone: +255-768-684790, +255-787899196
 
Yeah Nsagali C/o A. Chenge. Kwa tangazo hili, nadhani Nyakabindi Ginnery itaimalika.
 
Hao Nsagali ni MAJAMBAZI wakubwa, serikali ya BARIADI wameiweka kiganjani
 
Back
Top Bottom