Nafasi za kazi kwa makamanda wa juu wa jeshi na viongozi wa ngazi za juu

nipeni Maelezo jamani kuhsu hizi na fas za makanda. Zipo gazeti gani. Kama nina meno nijaribu kutafuna.
 
Kigezo cha kwanza uwe umetokea mara...musoma .... Na ujue kutumia panga vizuri kuliko bunduki think twice
 
Kumbe hata hawa jamaa wavivu wa kuapdate website

cheki profile ya Tanzania bado wanamtambua Mwanyika kama mwanasheria mkuu

Attorney Gen. Johnson MWANYIKA
 

Watu wanaweka nafasi za kazi kwa anayehitaji, wewe kuja na kutoa comment isiyo na kichwa wala miguu ni suala na kimaamuna. Kuna majukwaa ya jokes na un-serious matters, wacheni kuchafua. Hata kama wewe unajifanya chizi au punguani, kuna sehemu za kuwa na respect, au unaignore tu kwani si lazima ucoment!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom