Nafasi za kazi kibao utumishi

mkuu ni nyingi sana. kutoka wizara mbali mbali. kuna matangazo wawili. moja kiingereza jingine kiswahili ila ni kazi tofauti. deadline 19 august.

Tume ya ajira huwa wanakoseaga ukiangalia tangazo la kiingereza huwa kuna kuwa na tofauti na la kiswahili. Kuna baadhi ya post zinakosekana.
 
Tume ya ajira huwa wanakoseaga ukiangalia tangazo la kiingereza huwa kuna kuwa na tofauti na la kiswahili. Kuna baadhi ya post zinakosekana.

mie zamani nilikua najua yale matangazo mawili ni sawa. nikawa nikisoma la english la swahili napiga chini. kumbe...
 
Back
Top Bottom