Nafasi za kazi Jamii Media: Uhariri (Moderator) - Nafasi 3

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,422
1,384
Kutokana na kuwa kitengo hiki ni kipya kwa wengi katika Jamii; sifa za ziada za muhimu zitafundishwa kwa wale watakaopata nafasi hiyo. Kitengo cha usaili kimeweka taratibu za kuhakikisha somo linatolewa kabla ya kuanza kazi ili kazi ifanywapo iwe yenye tija kwa watumiaji wa mtandao na hata wasomaji wake. Mafunzo hayo yatachukua muda wa majuma mawili kabla ya wahariri wapya kuingizwa katika utendaji.

NAFASI; UHARIRI (MODERATOR) - Nafasi 3

Atahusika katika kufuatilia na kusimamia mada kwenye Jukwaa alilopangwa. Kufuatilia na kusimamia huko kutahusisha:
  • Kufanya kazi ya uhariri kwa misingi na sheria na miongozo ya JamiiForums
  • Kusimamisha/Kurekebisha/kuhariri mada kupitia mabandiko (posts) ya mada hiyo
  • Kuwalinda washiriki wote kuwa na uhuru sawa wa kutumia Jamvi bila upendeleo wowote
  • Kuhakikisha Mada zilizopo zipo mahala panapostahili
  • Kuhakikisha mada zinazojadiliwa zinajadiliwa ndani ya hoja na washiriki na kuwa hakuna wanaoharibu hoja, kutoa matusi/kejeli/kashfa kwa washiriki na hata wasio washiriki kwa lengo la kuchakachua mada
SIFA ZA MWOMBAJI
  • Awe ni mwanachama hai (active member) wa JamiiForums aliyejiunga si chini ya mwaka mmoja (Siku ya usaili utaulizwa ID yako)
  • Awe na umri kati ya miaka 23 - 33
  • Elimu ya Chuo
  • Awe na uwezo wa kutumia kompyuta na Mitandao mingine ya kijamii kama Twitter na Facebook
  • Awe na uwezo wa kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha
  • Awe anaishi Dar es Salaam.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI

Tafadhali tuma Maombi yako kupitia barua pepe ya vacancies@jamiiforums.com. Barua ya maombi iambatane na CV. Ya kuzingatia katika barua ya maombi ni yafuatayo:-
  • Elezea jinsi unavyoifahamu JamiiForums (unaitazama vipi), bila kusahau unachopenda, usichopenda pamoja na ushauri wa uboreshaji kama ukipewa fursa ya kuwa mhariri (moderator)
  • Urefu wa maelezo yako usizidi maneno 1,000!
Mwisho wa kutuma maombi ni Februari 25, 2016

ZINGATIA:
Nafasi hii ni ya 'Full Time' na hivyo utapaswa kufanya kazi hii ukiwa ofisi za Jamii Media - Dar es Salaam
 
Hapa Kwa Kigezo Cha UMRI Mmenikamata Na Sitaki KUONGOPA Ili Niwakoseshe Watu Wengine HAKI Yao. Kila La Kheri Kwa Watakaopata Na Pigeni Mzigo Kwa Uhakika Na Msituangushe. Wengine Miaka Yetu Sasa Inakaribia Ile Ya KISHERIA Ama Ya KIKATIBA Ya Kugombea Urais.
 
Kutokana na kuwa kitengo hiki ni kipya kwa wengi katika Jamii; sifa za ziada za muhimu zitafundishwa kwa wale watakaopata nafasi hiyo. Kitengo cha usaili kimeweka taratibu za kuhakikisha somo linatolewa kabla ya kuanza kazi ili kazi ifanywapo iwe yenye tija kwa watumiaji wa mtandao na hata wasomaji wake. Mafunzo hayo yatachukua muda wa majuma mawili kabla ya wahariri wapya kuingizwa katika utendaji.

NAFASI; UHARIRI (MODERATOR) - Nafasi 3

Atahusika katika kufuatilia na kusimamia mada kwenye Jukwaa alilopangwa. Kufuatilia na kusimamia huko kutahusisha:
  • Kufanya kazi ya uhariri kwa misingi na sheria na miongozo ya JamiiForums
  • Kusimamisha/Kurekebisha/kuhariri mada kupitia mabandiko (posts) ya mada hiyo
  • Kuwalinda washiriki wote kuwa na uhuru sawa wa kutumia Jamvi bila upendeleo wowote
  • Kuhakikisha Mada zilizopo zipo mahala panapostahili
  • Kuhakikisha mada zinazojadiliwa zinajadiliwa ndani ya hoja na washiriki na kuwa hakuna wanaoharibu hoja, kutoa matusi/kejeli/kashfa kwa washiriki na hata wasio washiriki kwa lengo la kuchakachua mada
SIFA ZA MWOMBAJI
  • Awe ni mwanachama hai (active member) wa JamiiForums aliyejiunga si chini ya mwaka mmoja (Siku ya usaili utaulizwa ID yako)
  • Awe na umri kati ya miaka 23 - 33
  • Elimu ya Chuo
  • Awe na uwezo wa kutumia kompyuta na Mitandao mingine ya kijamii kama Twitter na Facebook
  • Awe na uwezo wa kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha
  • Awe anaishi Dar es Salaam.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI

Tafadhali tuma Maombi yako kupitia barua pepe ya vacancies@jamiiforums.com. Barua ya maombi iambatane na CV. Ya kuzingatia katika barua ya maombi ni yafuatayo:-
  • Elezea jinsi unavyoifahamu JamiiForums (unaitazama vipi), bila kusahau unachopenda, usichopenda pamoja na ushauri wa uboreshaji kama ukipewa fursa ya kuwa mhariri (moderator)
  • Urefu wa maelezo yako usizidi maneno 1,000!
Mwisho wa kutuma maombi ni Februari 25, 2016

ZINGATIA:
Nafasi hii ni ya 'Full Time' na hivyo utapaswa kufanya kazi hii ukiwa ofisi za Jamii Media - Dar es Salaam
Mshahara ni kiasi gani?
 
Kaka na mimi nipo interested sana kujua .. Salary scale yao.. sijui jamaa wanaweza kuiweka wazi au ni siri kama mikataba ya TZ
Mishahara ya Serikali sio siri inajulikana kwa scale. m.f. ukiambiwa TGS D unajua kabisa utachezea 600-800. Kwa kuwa JF ni jukwaa huru na la great thinkers basi watuwekee ni kiasi gani wanalipa kwa post waliotangaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom