Nafasi za kazi british high commissio vipi?

TATIANA

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
4,627
2,272
Wakuu,napenda mwenye taarifa anijuze vipi zile taarifa mdau aliziweka hapa jamvini wameshaita kwa interview?

asante sana.
 
....wadosi walivyokama hizo balozi goodluck !!! Yaani wanaweza leta mtu kutoka pumjab kuja kuchukua nafasi kuliko wampe mmatumbi... ! Hawa akina Manji na Mo ipo siku tutawatoa nduki warudi kwao ww ngoja tu akina dhaifu waendeleze umasikini !!
 
Mkuu,unanitisha,hata hizi post ndogondogo wanakaba?
 
Chezea watu wengine sio hao wenye passport mia mia ! Hao wanajipenyeza ili mradi waingie ndani humo then mengine madili yanajipa. Nenda kaangalie watoa photo copy au mamesenja. labda kama umeomba nafasi za udereva, tena wa malori ya kusombea maji
 
Hahaaa,acha kumtisha mwenzio bwana! i hope yo joking, hadi mesenja?
 
Back
Top Bottom