nafasi za kazi bandarini

baada ya kusoma comment zenu nimejikuta nacheka sana...kila mtu anasanif kwa namna yake,eti kisa nimeandik a kwenye mstimu wa umeme...kwel wabongo tuna laana tena laana kubwa...tuendelee kukaa nyumbani kama nitafanikiwa kuona zilizotangazwa CNN ntawajulisha ndugu wadau

Ha hah ahaha haaa ha.... Mkuu unazidi kunivunja mbavu!! teh ehe teh...
 
Sasa wana JF kuna kitu sikielewi ina maana mda ukipita wa hayo matangazo ndo basi uruhusiwi kuomba hiyo kazi.... wenu katika ujenzi wa taifa la JF!:smow:
 
Sasa wana JF kuna kitu sikielewi ina maana mda ukipita wa hayo matangazo ndo basi uruhusiwi kuomba hiyo kazi.... wenu katika ujenzi wa taifa la JF!:smow:

ukishaambiwa mwisho wa kuapply tar fulani kama imepita basi.
 
sometimes we tuma tu hata kama tarehe imepita hasa kama ni kutuma via mail kwan itakucost nini?...nakumbuka kuna friend of mine aliomba kazi dead line ilikua bado kama wiki moja wao waliapply mapema wakawa washaitwa washapigwa interview siku ya deadline ndo wako wanaanza training...then he told me alipomuuliza bosi kuhusiana na deadline akamwambia kama sisi tumeshapata watu tunaowahitaji tuendelee kusubiri deadline?...so sometimes wanaweza ku extend deadline hasa kama labda walioapply ni wachache au labda hawakuvutiwa na bahadhi ya cv's...so mambo hayapo smart kihivyo mkuu
 
Kazi ya kubandikwa kwenye mstimu wa umee inawezekana ikawa ni kazi za vibarua, haihitaji elimu kubwa! kazi kama ya kupiga deki meli nk!
 
Hawa jamaa nimejaribu kuwacheki nahisi ni yale makampuni ya promotion za mitaani, na kwenye mabaa beware... location External kituo gereji
 
mmmh wanatoa kazi gani?hizo chapchp?au ni zile za kutembeza
vyombo mitaani? mmmh??????????????????
 
jamani tusio na kazi tunajua kuchanganywa, we umeona wapi kazi isiyotajwa jina wala vigezo, kama sio kwenda kuuzana..... mh njaa mbaya
 
Kwani bandari kazi zao hutangazwa na nani? Au ndo chakachua nikuchakachue then nikutue pwaaaaaaaaa! Any way wewe ushaplay role yako kutangazia wa2.
 
me wameniambia niende external maeneo ya garage na pesa ya form shilingi 10000,yaani mpaka nimechoka bhana!
 
Back
Top Bottom