Narubongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 2,768
- 2,750
..Akaniambia jeshi lina utaratibu wake sio unaleta makaratasi yako kama unapeleka kwny shirika la mkonge. Ika bidi nisepe nsije pigwa bure
u made my day
..Akaniambia jeshi lina utaratibu wake sio unaleta makaratasi yako kama unapeleka kwny shirika la mkonge. Ika bidi nisepe nsije pigwa bure
wiki ilyopita jumane alipeleka cv kesho yake wame mcal ajiandae.na jmosi aliondoka ame enda monduli.
Nimeambiwa mpaka mwezi wa sita sio sasa tena
nani kakudanganya fresh frm school ukiingia leo kesho unaenda monduli? hizo story za vijiwenijama alie sema this jana .inaweza kuwa kweli mi jama yangu mmoja ame maliza digri juzi na hakuwa mfanyakaz ni fresh frm school namfahamu kwa undani .wiki ilyopita jumane alipeleka cv kesho yake wame mcal ajiandae.na jmosi aliondoka ame enda monduli. Kuna mjeda mmoja nimemuliza akaniambia mwezi wapili ndio wata toa rasmi. Tangazo .leo nilienda pale ngome upanga kutaka kujua zaidi na kuacha Cv. Nikamkuta mjeda ana hasira getini. Akaniambia jeshi lina utaratibu wake sio unaleta makaratasi yako kama unapeleka kwny shirika la mkonge. Ika bidi nisepe nsije pigwa bure
taarifa tu.....nafasi za kwenda SUDAN kwa jwtz ni za kugombania tena memo zipo za kufa mtu....hiyo tunakimbilia jw coz kitaa no ajira au tunamapenzi ya dhati na usalama wa nchi, usije ukapangwa kwenda SUDAN ukakimbia.....mana wengine mnacomment kua wajeda siku hizi wanamea vitambi as if kule nowadays hakuna ugumu wa kazi........vipi mmejaribu na kujiajiri imeshindikana maana tutataka pia proffesionals kwenye biashara kule ndo pesa ipo na maamuzi ya muda ni yako no working under pressure. fikra zangu
Nimeambiwa mpaka mwezi wa sita sio sasa tena
haya koplo we si ndio mwajiri wa jeshi.note one thing sibatishi navyo post kitu wala si post maneno ya kusikianani kakudanganya fresh frm school ukiingia leo kesho unaenda monduli? hizo story za vijiweni