Nafasi za jwtz

kwa wa mwaka huu walishafanya usaili, walishapimwa afya, selected wanasubiri kwenda monduli,
 
hao ni wale wanajeshi ambao waliamua kujiendeleza. Nafasi kwa raia bado hadi zitakapotangazwa baada ya wale kumaliza nusu ya course.
 
Kifupi serikali haikuwa na budget ya kutosha kuajiri askari wapya. labda msubiri baada ya july
 
mwaka huu hamna wa kutoka uraiani wataingia june/july.., ni course moja tu,, pesa baba, gwasu hamna,,,,
 
Huku ndani kila mtu ni source!! Lakini nafikiri jambo jema ni hili "Kama kweli unataka kujua ni lini JWTZ wanaajiri nenda ktk ofisi ya wilaya/ mkoa onana na mtu ambaye ni Mjeshi lkn ana cheo cha Mshauri wa Mgambo wilaya/mkoa atakupa details zote khs lini na namna gani unafanya application....pia kama uko Dar ni vizuri kama utaenda personally pale NGOME upanga ukapate straight maelekezo. Lakini hapa jf kwa kiasi kikubwa ni kupeana pressure mfu tu.

Mimi nimejaribu kufuatilia suala hili mara nyingi humu ndani mnapeana hopes zisizo na mashiko na ukifuatilia ktk source sahihi mf. maafisa wa jeshi, wafanyakazi wa jeshi na watu wa karibu huko jeshini wanasema ukweli kuwa hakuna kazi mpya za jeshi zilizotolewa kwa raia yeyote wa kawaida isipokuwa nafasi za kusoma zilipatikana kwa wale wa ndani, yaani ambao tayari ni wanajeshi ndio wako masomoni na ninahisi hii ya kusema wameenda oooh..juzi, jana, kesho sijui...june/july/ septemba...not true na inaonyesha namna gani wadau hapa hamchukui muda kuulizia from beta sources.

RAI YANGU: As of NOW there are no new jwtz recruitment lists, and if jwtz wants to recruit new army people there 'll b advertisements na what you can do is to comprehend your time and be aware. Just today (09/01/2012) i was given an alert kuwa tar 19/01/2012 JWTZ wanatarajia kurecruit graduates...but sijakonfirm frm my people ila aliyeniambia alitoa habari kutoka kwa Afisa Mshauri wa mgambo Mkoa...jamaa yangu anatoka A. TOWN....goodluck guys.
 
Labda nawe hausomi comments za wengine ukazielewa kwa Usahihi ukitizama kwa makini hapo juu utaona awali nilieleza kua nilienda Personally Upanga wakuu wakanieleza kua mwezi huu Jan ndio wata deal na Graduants kwa hyo sio kweli kwamba vyanzo vyote ulivyoviona juu havijaeleza ukweli na yote kwa wote thanks nawe kwa taarifa
 
Mdau I really hope your source is valid coz nimekuwa nasikilizia hizo nafasi za graduates since september 2011 mpaka leo hola. If you manage to confirm the news please share the knowledge with us. Mimi ni graduate wa juzi tu, nafikiri JWTZ patanifaa given a chance.
 
Nimesikia kuwa hata kwa graduates kuna age restriction (28 yrs -> Bachelor), (35 yrs -> Masters), je kuna ukweli wowote hapa?
 
Mdau I really hope your source is valid coz nimekuwa nasikilizia hizo nafasi za graduates since september 2011 mpaka leo hola. If you manage to confirm the news please share the knowledge with us. Mimi ni graduate wa juzi tu, nafikiri JWTZ patanifaa given a chance.
kamanda mwenzangu unahisi kesho tarehe 19/01/2012.....watatangaza!! huyo mdau alieenda ngome atupe ukweli....siku hizi Jei wi kiulaini mpaka wajeda wanafuga vitambi.......aluta kontinua
 
Mzeeya hizi story za jeshi watangaza leo, watatangaza kesho, watatangaza mwezi ujao nimeshazikia sanaa, and each time they were false. That's why I'm a bit sceptical.
 
lets hope kamanda coz wenzetu maticha wameshakula shavu sisi ndio kwanza tunaulizia tangazo la ajira!!! bt mwaka huu unagawanyika kama sio ajira basi lazima tuoe!!!!!
 
Kimsingi kutokana na hali halisi ya no ajira na hii ndo tanzania yetu ,graduates tunao subiri kitaa 4 jw tupo kibao, wadau jaribuni kutembelea maeneo ya upanga mtuupdate
 
jama alie sema this jana .inaweza kuwa kweli mi jama yangu mmoja ame maliza digri juzi na hakuwa mfanyakaz ni fresh frm school namfahamu kwa undani .wiki ilyopita jumane alipeleka cv kesho yake wame mcal ajiandae.na jmosi aliondoka ame enda monduli. Kuna mjeda mmoja nimemuliza akaniambia mwezi wapili ndio wata toa rasmi. Tangazo .leo nilienda pale ngome upanga kutaka kujua zaidi na kuacha Cv. Nikamkuta mjeda ana hasira getini. Akaniambia jeshi lina utaratibu wake sio unaleta makaratasi yako kama unapeleka kwny shirika la mkonge. Ika bidi nisepe nsije pigwa bure
 
Yes ni kweli kuna mtu yupo kitengo amesema ajira watatangaza mwanzoni mwa Febr kwa hyo tuendelee kua wavumilivu wadau
 
Haha ha mnanifuraisha, wakat mamia ya wenye dgree mnasubir kwenda JWTZ, anzen na kutafuta ma refferal wa kuwapgia pande cz mpo weng
 
Back
Top Bottom