Nafasi ya ujasiliamali

Bob Nash

Member
Aug 21, 2009
64
0
Ndugu wakaka na wadada wa jf, kwa wale wanaotaka kufanya biashara ya stationeries za aina mbalimbali, kama uko mikoani au dar es salaam na unajua sehemu za kusupply aina mbalimbali za stationery na vitabu vya kwenye mashule primary na secondary, tuwasiliane, nna supply kwa bei za jumla na nafuu kabisa, usafiri kwa watu wa mikoani inaweza pangwa pia, nipigie kwa 0654633109, ikiwezakana ufike kwa ofisi kamata oppsite na shoprite kwa mazungumzo zaidi. hata kama hujui biashara lakini unajua sehemu ya kusupply, piga tu kwa mawasiliano zaidi.
 
Asente sana,tafadhali nitumie price list ya bidhaa zako,if possible orgin of your products naweza kushiriki

Back
Top Bottom