Nafasi ya Tutorial Assistant

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
759
1,004
Habarini wanataaluma.

Nina dhamira na Nia ya dhati ya Kuwa MWALIMU wa chuo kikuu,
Nina shahada ya kwanza,
G.P.A 3.9,

Nimejitahidi Ku_apply nafasi ya Tutorial Assistant (T.A) kufuatia matangazo mbalimbali ya vyuo Tofauti,
Ila bado sijabahatika Hata kuitwa Kwenye usaili.
___
Nimekaa limenijia Wazo la kujaribu kutuma barua za maombi ya nafasi hiyo ya T.A katika vyuo mbalimbali nchini,
vya umma na vya binafsi,
Pasipo vyuo hivyo kutangaza nafasi za kazi.

JE,
kuna uwezekano wa maombi hayo kuzingatiwa?

Nawasilisha.
 
Nafasi za vyuo vya uma ni mpaka pale zinapotangazwa la sivyo kama wanahitaji mwalimu wa part time. Vyuo binafsi waweza peleka maombi maana kuajiri kwako wanatumia mfumo tofauti na vyuo vya uma
 
Nimeuchukua,
Na naenda kuufanyia kazi Mchango Wako.
 
Umesoma wapi na umesoma nini? Kulingana na policy ya sasa minimum gpa ni 3.8. Kwa hiyo una qualify. Kama unaweza soma master degree kupata nafasi inaweza kuwa nyepesi kidogo. Kwa sasa vyuo vingi wanapendelea kuajiri kuanzia master degree.
Hata hivyo nafasi wakati mwingine zinapatikana. Mungu akutane na haja yako.
 
Habarini wanataaluma.

Nina dhamira na Nia ya dhati ya Kuwa MWALIMU wa chuo kikuu,
Nina shahada ya kwanza,
G.P.A 3.9,

Nimejitahidi Ku_apply nafasi ya Tutorial Assistant (T.A) kufuatia matangazo mbalimbali ya vyuo Tofauti,
Ila bado sijabahatika Hata kuitwa Kwenye usaili.
___
Nimekaa limenijia Wazo la kujaribu kutuma barua za maombi ya nafasi hiyo ya T.A katika vyuo mbalimbali nchini,
vya umma na vya binafsi,
Pasipo vyuo hivyo kutangaza nafasi za kazi.

JE,
kuna uwezekano wa maombi hayo kuzingatiwa?

Nawasilisha.

Nashauri anzisha chuo chako mwenyewe .
 
Hata kupeleka maombi kabla ya matangazo inawezekana. Nafasi zikitokea wanaangalia pia wanaoqualify na waliokwishwa omba. Hilo nimeliona likitokea.
 
Umesoma wapi na umesoma nini? Kulingana na policy ya sasa minimum gpa ni 3.8. Kwa hiyo una qualify. Kama unaweza soma master degree kupata nafasi inaweza kuwa nyepesi kidogo. Kwa sasa vyuo vingi wanapendelea kuajiri kuanzia master degree.
Hata hivyo nafasi wakati mwingine zinapatikana. Mungu akutane na haja yako.
Nimesoma UDSM,
Kozi B.A(Education).

Nahitaji kufanya M.A ila uchumi bado haujaimarika.

M/MUNGU aipokee dua yako kwangu,
AAMIN.
 
Hyo G.P.A ni ndogo sana imekaribia sana kwenye cutoff 3.8. Ukicompete na mwenye 4.5 first class umeshapotea mkuu. Ila nisikuvunje moyo pambana huwezi jua bahati yako. Ila ukiweza fanya masters ukiweza pata >4.0 GPA utakuwa umeongeza likelihood kwa 40%
 
Kama ungesoma science nadhani hata huu uzi usingeuanzisha. But usife moyo haya mambo yanahitaji subira.. May be jaribu scholarship ili uongeze uhakika was kupata Nazi zaid.
 
Nitajitahidi kulifanyia kazi Hilo ndugu.
 
Kama ungesoma science nadhani hata huu uzi usingeuanzisha. But usife moyo haya mambo yanahitaji subira.. May be jaribu scholarship ili uongeze uhakika was kupata Nazi zaid.
Nimekuelewa Vema kiongozi.
 
Una umri gani? Kama upo zaidi ya miaka 35, basi nafasi ya kupata nafasi ya TA ni ngumu sana..kwa sababu kama una miaka zaidi ya 35 na upo na BA tu, ina maana utakuwa na miaka 40 utakapopata PhD...na kama utapenda kusoma kwa kupata ufadhili, ni dhahiri umri utakuwa kikwazo.

Usikate tamaa lakini kwa sababu 'the sky's the limit'
 
Kwa sasa Nina MIAKA 24 mkuu,
Na kwa kweli Lengo langu ni kupata ufadhili ndipo niweze kusoma M.A.
 
Basi usikate tamaa. Una umri sahihi. Kila la kheri.
Ahsante Sana.

Hivi ukiachilia scholarships za ughaibuni,
Kuna asasi zinazofadhili watu kusoma ndani ya Nchi kwa hapa Tanzania?
 
Sifahamu kwa kweli. Pengine jaribu kutembelea websites za balozi mbalimbali. Pia tembelea websites za mashirika ya fani yako yanayofanya kazi Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom