Nafasi ya rangi ya ngozi kwenye mahusiano

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Rangi ya mwili nadhani ina nafasi flani mapenzini na ndio maana watu wanajibadilisha. Kwa mtazamo wako ww mwana jf, hili unalichukuliaje
 
Nafikiri rangi za miili yetu pia ni urembo hivyo kutumika kama kigezo cha mapenzi si tatizo. Ila tatizo ni pale rangi hizo zinapotumika kama kipimo cha utu. Nafsi yangu inavutiwa sana na light skin ya muafrika pure(kama dada zangu wa singida) ila siamini kama wao ni bora zaidi ya wale dark skin(watani zangu wa kagera). All in all kwenye mapenzi kila mtu ana ladha yake na hao wanaobadilisha si kwa ajili ya mapenzi wao hufanya hivyo kwa matatizo yao ya akili.
 
dah, hii kitu kina ukweli ndani yake:d
mimi kama mimi nafagilia rangi ya chungwa kama za dada zetu warangi, hii rangi sina mashaka nayo, maana inamvuto sana, hasa ukiikuta maeneo nyeti, weee aibuuuuuuuuuuuuu! hapa naongelea white/chungwa nachuro, sio mkorogo.
 
apa tupo ukurasa mmoja mkuu! ukipandisha kidogo kuelekea arusha kuna wa Iraq pia!
 
Ukweli nazimia sana chocolate. Ilitokana na dem niliyempenda sana!
 
Sasa huu upendeleo ndio unaofanya hasa kina dada kujikoboa. Ila wajue ngozi ni matunzo

Si wote wanapenda ngozi nyeupe kuna watu wanapenda ngozi nyeusi kabisa, sasa hao weupe wafanyeje?
 
mmh nyeupe/brown ndo ishu si waona kila mmoja anataka kujikoboa ili aonekane mzungu?

Ni kwa sababu tunajaribu kufit kwenye scales zenu si unaona hapa kila mmoja anadai anapenda rangi za kirangi asa mie ambaye ni mweusi si nitabaki bila hata dada hujamboa? teh teh ngoja niwahi diprovera sijui diproson !
 
Kama ni kwa kufuata mtiririko, rangi kwangu inakuja baada ya kuridhika na umbo kwa ujumla(Mwenyewe naiita 'Morphology'!).Kama morphology hailipi hata awe mweupe kama mzungu, huwa sijisikii kuvutika. Kama umbo limetulia, rangi kwangu si kigezo kabisa! Ceteris paribus, rangi ya maji ya kunde huwa inapendeza machoni mwangu zaidi kuliko rangi nyingine!
 
Mkuu umegusa patamu, enhe morphology gani inapanda kati ya hizi mbili kuu? I mean kimobitel au tipwa tipwa? LOL
 
Ni kwa sababu tunajaribu kufit kwenye scales zenu si unaona hapa kila mmoja anadai anapenda rangi za kirangi asa mie ambaye ni mweusi si nitabaki bila hata dada hujamboa? teh teh ngoja niwahi diprovera sijui diproson !

mamaa kama mwili unalipa, rangi si inshu
 
Mi nawapenda walio weusi tiiii!
nasikia wananoga....wana joto zuri....si mwajua black colour ina aakisi jua....but foe me white colour is shinable aisee totozi jeupeeeee wengi wanakuwa na roho nzuri..
 
Kama ni kwa kufuata mtiririko, rangi kwangu inakuja baada ya kuridhika na umbo kwa ujumla(Mwenyewe naiita 'Morphology'!).Kama morphology hailipi hata awe mweupe kama mzungu, huwa sijisikii kuvutika. Kama umbo limetulia, rangi kwangu si kigezo kabisa! Ceteris paribus, rangi ya maji ya kunde huwa inapendeza machoni mwangu zaidi kuliko rangi nyingine!

kaka umegonga kwa Rais. Mwanamke awe na mvuto kwanza then rangi next, au sio?
 
Back
Top Bottom