Nafasi ya mwisho kwa walimu wa tanzania....

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Jana kwenye changia chadema.mh mbowe alitoa vipaumbele vitatu pindi chadema watakapoingia madarakani mwaka 2015.ipaumbele hivyo ni:
1.elimu
2.elimu
3.elimu
walimu wanachotakiwa kufanya kuanzia sasa ni kuhubiri waziwazi mabadiliko ya uongozi wakiwa madarasani na nnje ya madarasa.mwisho kabisa ni kuhakikisha wakati wa uchaguz wanaiangusha ccm kwa namna yoyote ile..
 
Kama wanataaluma naamini mawazo ya Mbowe watayafanyia kazi, na kituko zaidi serikali yenye visasi ikiongozwa na mkuu wa kaya pamoja na Mr. Liwalo na Liwe wameamua kuwapiga chini ktk zoezi la kuandikisha sensa ili kuwakomoa kufuatia mgomo waliofanya kwa ajili ya kudai kuboreshewa masilhi yao! Kazi kwenu walimu wangu!
 
Nadhani ni walimu wachache wenye akili kama zao ndio wataofanya hivyo.
Hivi unapotaka kumpindua baba yako kwenye familIA nia yako ni nini
LWLNLW
 
Jana kwenye changia chadema.mh mbowe alitoa vipaumbele vitatu pindi chadema watakapoingia madarakani mwaka 2015.ipaumbele hivyo ni:
1.elimu
2.elimu
3.elimu
walimu wanachotakiwa kufanya kuanzia sasa ni kuhubiri waziwazi mabadiliko ya uongozi wakiwa madarasani na nnje ya madarasa.mwisho kabisa ni kuhakikisha wakati wa uchaguz wanaiangusha ccm kwa namna yoyote ile..

Tunaelekea kwenye mabadiliko.
 
Walimu wakiamua kuleta mabadiliko wanaweza. Wanaweza anza katika lile somo la civics
 
Jana kwenye changia chadema.mh mbowe alitoa vipaumbele vitatu pindi chadema watakapoingia madarakani mwaka 2015.ipaumbele hivyo ni:
1.elimu
2.elimu
3.elimu
walimu wanachotakiwa kufanya kuanzia sasa ni kuhubiri waziwazi mabadiliko ya uongozi wakiwa madarasani na nnje ya madarasa.mwisho kabisa ni kuhakikisha wakati wa uchaguz wanaiangusha ccm kwa namna yoyote ile..

Tony Blair, 1995:

  1. Education
  2. Education
  3. Education.....
 
Kweli kabisa hawa walimu waki walisha sumu ya mabadiliko hawa vijana mapema hadi kufikia 2015 sumu itakuwa imesambaa kabisa!
Walimu hebu fanyeni kweli bwana!...
 
Nimesha anza hilo zamani mkuu m4c mpaka darasani. Nikiingia class 4m3 wanasalimia ticha...pipozzz nawajibu powerr. Kumbuka wengi ni miaka 16-17 so ni uhakika 2015 wanapiga kura hawa.
To hell ccm.
 
nidai like mkuu
 
Kweli kabisa hawa walimu waki walisha sumu ya mabadiliko hawa vijana mapema hadi kufikia 2015 sumu itakuwa imesambaa kabisa!
Walimu hebu fanyeni kweli bwana!...

Walimu sio maleimani wa hivyo, walimu ni wanataaluma waliosomea, pia walimu wana ethics zao halafu wanafanya kazi yao kufuata mitaala iliofanyiwa utafiti na policy makers, kazi yao inafanywa kufuata miongozo ya serikali kupitia inspectorate, kwa hiyo hawatawapoison watoto wao (wanafunzi)
 
nyie ndo mnaotoa kura kwa ajili ya vyakula..jitambue hujachelewa

Lilikuwa swali tu, ambalo hujajibu bado.

Mtu akupe scholarship ya kusoma kuanzia vidudu mpaka PhD, lakini akunyime kula, na mwingine akupe free pass ya kula kwa miaka hiyo hiyo ya kusoma vidudu mpaka PhD, lakini akunyime elimu. Wapi kuna afadhali?

Sio hawa watu waliosoma biology (walionufaika na usomi unaoutetea) wanaotuambia kwamba asubuhi ni muhimu tupate staftahi nzuri ili kazi zetu za siku nzima ziende vizuri? Na kwamba bila staftahi nzuri, tukiwa tunapiga miayo darasani hata mwalimu awe kasoma Oxford kama Richard Mabala hatutaelewa mengi?

Unatetea sana elimu, je unaelewa basic human needs ni nini?

Katika elimu yako mpaka sasa ulishapata kukutana na "Maslow hierarchy of needs" na kujua chini kabisa kuna nini?
 
lilikuwa swali tu, ambalo hujajibu bado.

Mtu akupe scholarship ya kusoma kuanzia vidudu mpaka phd, lakini akunyime kula, na mwingine akupe free pass ya kula kwa miaka hiyo hiyo ya kusoma vidudu mpaka phd, lakini akunyime elimu. Wapi kuna afadhali?

Sio hawa watu waliosoma biology (walionufaika na usomi unaoutetea) wanaotuambia kwamba asubuhi ni muhimu tupate staftahi nzuri ili kazi zetu za siku nzima ziende vizuri? Na kwamba bila staftahi nzuri, tukiwa tunapiga miayo darasani hata mwalimu awe kasoma oxford kama richard mabala hatutaelewa mengi?

Unatetea sana elimu, je unaelewa basic human needs ni nini?

Katika elimu yako mpaka sasa ulishapata kukutana na "maslow hierarchy of needs" na kujua chini kabisa kuna nini?
nashindwa nianze kukusaidia wapi.maana mwalimu wako hakukusaidia kwenye nyanja kuu 2 yaani...cognitive na affective ......hili ni zao lingine la elimu movu iliyosimamiwa na ccmkwa miaka 50
 
Kama ulivyosema mwenyewe, umeshindwa hata kabla hujaanza. Halafu unamlaumu mwalimu wangu.

Hujajibu maswali.
 
Lilikuwa swali tu, ambalo hujajibu bado.
Mtu akupe scholarship ya kusoma kuanzia vidudu mpaka PhD, lakini akunyime kula, na mwingine akupe free pass ya kula kwa miaka hiyo hiyo ya kusoma vidudu mpaka PhD, lakini akunyime elimu. Wapi kuna afadhali?
Sio hawa watu waliosoma biology (walionufaika na usomi unaoutetea)
mkuu hapo nadhani hukuelewa thread yenyewe, wakisema kipaumbele hawamaanish sector nyingne kama chakula wanakizi-ignore..
Mytake: ni kwamba ulikuwa umejiandaa kubisha. #tusitaftane@dhakawap.com
 
Lilikuwa swali tu, ambalo hujajibu bado.

Mtu akupe scholarship ya kusoma kuanzia vidudu mpaka PhD, lakini akunyime kula, na mwingine akupe free pass ya kula kwa miaka hiyo hiyo ya kusoma vidudu mpaka PhD, lakini akunyime elimu. Wapi kuna afadhali?

Sio hawa watu waliosoma biology (walionufaika na usomi unaoutetea) wanaotuambia kwamba asubuhi ni muhimu tupate staftahi nzuri ili kazi zetu za siku nzima ziende vizuri? Na kwamba bila staftahi nzuri, tukiwa tunapiga miayo darasani hata mwalimu awe kasoma Oxford kama Richard Mabala hatutaelewa mengi?

Unatetea sana elimu, je unaelewa basic human needs ni nini?

Katika elimu yako mpaka sasa ulishapata kukutana na "Maslow hierarchy of needs" na kujua chini kabisa kuna nini?

unaposema elimu chakula ni zao la elimu kwa maana hiyo kuboresha elimu ni jinsi ya kuboresha yote yale yatakayo ipelekea elimu kusimama,siyo kusoma tu darasani,
 
Back
Top Bottom