Nafasi ya Mwenzi wa kwanza katika Utamaduni wa Mapenzi

Kongosho,

Kuna baadhi ya watu hata hawawezi kujua ni lini walianza haya mambo.

Kuna jamaa yangu alimaliza darasa la saba enzi hizo na kujikuta keshaanza mchezo wa baba na mama na binti mmoja waliyekuwa class moja. Halafu, huyo mshikaji na jamaa wengine kama 3 hivi walikuwa wanajuana kwamba wote wanakula sahani moja..Wakati tuko kidato cha kwanza, jamaa kaletewa taarifa kuwa ana first born!

Kwa hiyo, watu wanaonza katika michezo ya kitoto, hawawezi kutengeneza film nzuri ya maisha yao ya awali katika MMU ili waitumie kama reference huko mbeleni. Hata hivyo, wale ambao wanaanza wakiwa watu wazima, wanaweza walau kuwa-rank wadau wao na ku-determine impact ya hao wadau katika maisha yao ya baadaye!!

Babu DC!!
 
Dark City

ni kweli, mtoto akianza mdogo sana napo anakuwa hajui hata nani ali-influence nini na wakati gani.

Na sijui kundi hili ni kubwa kwa kiwango gani, angalau wanaoanza wakiwa wamejitambua inaweza wasaidia.

Unajua kuna siku niliona mtoto kama wa miaka 12 to 14 na konda wa daladala kwenye daladala mida ya jioni sana na daladala linaenda ila halikuwa na abiria.

Nikawaza huyo mtoto anaweza fanyiwa chochote sababu bado yuko naive, na atadhani labda analofanyiwa kwa wakati huo ndio yanatofanyika kwa wapenzi wote.
 
Last edited by a moderator:

Enter character number two,Lulu EliZabeth Michael....and the scene unfolds....
 
Last edited by a moderator:
sio suala la kumsahau, ila anadetermine 'guts' za kufanya mambo fulani kutokana na alichofanya.

Kama uliangukia kwa manya.ng'au utakuwa na guts za kufanya hayo

kama uliangua kwa mtu decent, hata huko baadae utakuwa na decency kwa uyafanyayo kwa wenza wengine wanaofuata.

Kongosho ulitaka kusema huwezi kumsahau hata muachane au u meant anakuwa ni bora kuliko?
 
Last edited by a moderator:
Mwenzi wa kwanza anaweza akakufanya uione dunia chungu au tamu. Ana nafasi kubwa na muhimu kama mwalimu wa chekechea alivyo na nafasi kwa vitoto.

Mhh! Hii ina ukweli wowote au ni mindset tu ndo inatufanya tuamini hivyo!
 
Back
Top Bottom