The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,873
Umesema kweli dada'angu, nina wifi yangu huyo yupo home yaani siku akiamka saa 2 ujue kuna maajabu! Yeye mida yake ni saa 5 ndo anatoka chumbani kwake , chakula apikiwe ye kupika mpaka ajisikie!! Nguo zikichafuka utaona anawaita madogo ndo wafue yeye huyoo saluni! Dah......huwa namuonea huruma kaka'angu aisee!
sasa aamke saa mbili ili iweje?
mtu ni housewife.....
mbona mna gubu hivyo?
saloon si ndo vizuri apendeze?
akiwa mchafu mtasemaje?