Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 936
Wanajangwani na wafanyabiashara wakubwa wote wanaohitaji kuwekeza kwenye brand ya yanga kama njia ya kumuunga mkono mheshimiwa mwenyekiti katika mpango wako wa kukodishiwa klabu yetu kesho watakua na mkutano mkubwa sana pale hoteli ya Double tree by Hilton. Yaani naanza kuona mambo ya klabu yetu yakiwa yameiva kabisa jamani.