Nafasi ya Kazi ya Ualimu wa Computer(Computer Instructors)

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
420
Shule ya Ambassodor zamani ikijulikana kama Happy Skillful ya Tabata Segerea wametangaza nafasi hyo ya kazi kama inavyojieleza kwenye heading,kama una sifa tafadhali leta barua yako ya maombi,CV's na vyeti husika Ofisini Tabata Segerea BS mkabala na ukumbi wa LUKOLO( Office inaitwa JCN COMPUTER ASSOCIATES) kwa maelezo zaidi piga 0714142266 na 0755696168;haya wakuu jaribuni zali hilo kwani tangazo nimelikuta hapo leo na wamenieleza haya sasa jaribuni wadau zali hilo N:B hakuna GPA wala nn wewe peleke vyeti mengine utayapata huko
 
Mi npo Arusha, nmemalza last yr, B.Ed with Compt Science, Tumaini Universt, Makumira. Namb yangu ya sm 0658 950 264. Km vp naomben email addres il n2me applctn na cv zangu!
 
Back
Top Bottom