Nafasi ya kazi ya msichana wa kazi za ndani

miss mkweli

Member
Oct 30, 2010
14
0
Nahitaji msichana wa kazi za ndani awe

mchapakazi
umri usizidi 21
awe mkristo
atakuwa anakaa kwangu
Mshahara maelewano
atakaempata awasiliane nami kwa namba 0713 775173
 
Ooh jaman umri huo. Mimi ninaye m2 ambaye anatafuta kaz lakin ila umri mmh!

Huyo uliye naye ana umri gani?? Mimi nahitaji mdada mwenye zaidi ya umri huo kwa ajili ya kuangalia watoto....awe mkristo na asiwe na magonjwa sugu!! kama yupo hebu ni-PM
 
Kuna ambaye ana sifa zote lakini anataka kujua wewe
umeoa/kuolewa?au una familia?
Kazi anachapa -za nyumbani tu.
Yeye ni mkristo anasalia kwa Kakobe-na kama hapo ulipo hamna dhehebu hilo kazi itamshinda.
Mshahara anataka si chini ya 30elfu plus chakula,malazi na matumizi mengine kama sabuni etc.
Kama ni sawa nieleze aku beep.
RE.
Nahitaji msichana wa kazi za ndani awe

mchapakazi
umri usizidi 21
awe mkristo
atakuwa anakaa kwangu
Mshahara maelewano
atakaempata awasiliane nami kwa namba 0713 775173
 
Nahitaji msichana wa kazi za ndani awe

mchapakazi
umri usizidi 21
awe mkristo
atakuwa anakaa kwangu
Mshahara maelewano
atakaempata awasiliane nami kwa namba 0713 775173

mpwa mie ninae nsichana wa nje tena wa masasi utampenda??
 
Jamani hata mimi ninatafuta awe mrefu wastani, mweupe, miaka 18- 25, mcheshi, mwenye huruma na asiye mchoyo,mwenye upendo na asiye na kiburi wala dharau na awe anatokea mkoani(kijijini), mshahara 35,000, matibabu, sabuni, nguo za sikukuu juu yangu, ruksa kwenda beach mara moja kila mwisho wa mwezi, ruksa kuangalia tv jioni akishamaliza kazi zake. Sijaoa.
 
Nahisi hukusoma vizuri SUBJECT naona kama UNATAFUTA MKE na sio MFANYAKAZI.:mmph:

ngoja niapply hii nafasi.
 
Nahisi hukusoma vizuri SUBJECT naona kama UNATAFUTA MKE na sio MFANYAKAZI.:mmph:

ha haha hah a hah ahaha da!!! umenichekesha sana,,kwani ni kweli huyu anatafuta mke na si mfanyakazi wa ndani....
JF bwana kuna watu wanachangia kuchekesha watu tu.
 
Jamani hata mimi ninatafuta awe mrefu wastani, mweupe, miaka 18- 25, mcheshi, mwenye huruma na asiye mchoyo,mwenye upendo na asiye na kiburi wala dharau na awe anatokea mkoani(kijijini), mshahara 35,000, matibabu, sabuni, nguo za sikukuu juu yangu, ruksa kwenda beach mara moja kila mwisho wa mwezi, ruksa kuangalia tv jioni akishamaliza kazi zake. Sijaoa.

ha ahha haha mbavu miye,,wewe unatafuta MKE? au msichana wa kazi
mmh!!! jamani hapa JF watu kama nyie muhiumu sana,
asante kwa kunichekesha.
 
unataka alievunja ungo??ama bado niingie kisarawe fasta.??ans
important
 
Nahitaji msichana wa kazi za ndani awe

mchapakazi
umri usizidi 21
awe mkristo
atakuwa anakaa kwangu
Mshahara maelewano
atakaempata awasiliane nami kwa namba 0713 775173

mbona hujaspecify hizo kazi za ndani atakazo fanya ni zipi. ili utakapo mfanyisha zilizo nje ya kazi zake sheria zichukuliwe.
 
unataka alievunja ungo??ama bado niingie kisarawe fasta.??ans
important

halafu huyu mtoa tangazo yeye mbona hajataja jinsia yake? kama we ni wa kiume na hauna mke ebu tafuta mwanaume mwenzako pls
 
mimi nimeolewa na nina mtoto mmoja wa miaka 2 nakaa Sinza. nahitaji msichana wa kazi a.k.a Housegirl. ple wapendwA nipo seliasi. wasiliana nami 0713775173
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom