Nafasi ya Kazi Muhandisi wa Umeme!

Yeccotltd

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
201
21
Kampuni yako ya kizalendo ishughulikayo na mambo ya Umeme na IT ya YECCO (T) LTD inatangaza nafasi ya kazi ya uhandisi wa Umeme:

Sifa:
A) Awe amehitimu elimu ya umeme wa viwanda na majumbani kuanzia ktk ngazi ya Advance Diploma na kuendelea,

B) Awe amehitimu ktk chuo kinachotambuliwa kitaifa na kimataifa,

C) Awe na leseni ya EWURA na asiwe aliwahi kuwa Technical Director ktk kampuni yoyote CRB

D) Awe na elimu ya ya utangulizi ya kompyuta.

Maombi ya tumwe kwa anwani ya kimtandando yeccotltd@yahoo.com , au kufika ofisi zetu zilizopo mtaa wa Samora,Posta, Dar es salaam, Tanzania, Coronation House,Ghorofa ya pili, jirani na Baraza Kiswahili.

Bila kusahau kopi ya cheti cha kuzaliwa na Picha mbili za pasipoti ktk maombi hayo!

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25/2/2012
 
Dah mahitaji mengi kweli, mie ninaufundi wa veta tu gredi 3, yani mpaka hapo sina changu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom