nafasi ya kazi kwa msaidizi wa kazi-DSM.

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Naomba/natafuta msaidizi wa kike ikiwezekana awe na uzoefu wa kuangalia kina mama wazee: Umri kati ya miaka 23-40:Kama hana uzoefu anaweza kujifunza.
Ni kazi ya kumhudumia bibi ambaye anahitaji msaada kwa aslimia 75.
Majukumu makuu ni.
1)Kumtayarishia chakua
2)Kumuogesha
3)Kumpa dawa kwa wakati
4)Kumfulia nguo zake
Kazi iko jijini DSM.
Mshara :Ni Tshs 131,000.
Makato:
Ni chumba kwa mwezi 10,000
Umeme na maji 1,000
Chakula cha mchana na jioni na chai kwa siku 1,500
Matibabu bure yasiyozidi 50,000 kwa mwezi. Matumizi ya kawaida kama sabuni na kadhalika –bure.
Off duty siku 2 kwa mwezi
Msharahara wake unaobaki ni 75,000Tshs/mwezi.
Mwenye kujua naweza kumpata wapi anisaidie kwa kunitumia ujumbe kwa rakeyescarl@yahoo.ie au ani PM.
 
yaani Mkuu mtu akutunzie kizee chako halafu unasema akiumwa mwisho 50,000 kumsaidia!!
na wewe uko unakofanya kazi wakikwambia free siku mbili tu kwa mwezi inakuaje?!? achaneni upimbi wa kutaka mambo kwa faida zenu bila kuwajali wanaowanufaisha! nao ni binadamu kama wengine wote.
 
Yani mpaka kumuogesha mtu mshahara 75 elfu?
You outta be kiddin. . . .
 
Chochote mtakacho mtendewe na watu na nyie watendeeni vivyo hivyo wenzenu.
Wewe ungekubali kazi zote hizo 75?mtu anaeogeshwa bila shaka hata haja hajiwezi.
 
Back
Top Bottom