Nafasi ya kazi: Afisa masoko

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Kampuni ya usafirishaji mizigo inatafuta afisa masoko mwenye uzoefu na kazi za usafirishaji mizigo.

Kampuni ni mpya, hivyo kuna changamoto nyingi hasa katika kutafuta masoko.
Ipo dar es salaam, upanga.

Kama upo interested, tafadhari ni pm.
 
toa upuuzi hapa kamuni haina jina wala contact,jipange wewe,upanga kubwa bwa mdogo usichezee raia akili tunahasira ka tumemwagiwa maji ya betri kama umechoka si ukalale uwape mbu faid abwana kuliko kutype uncertainities kama hizo mzee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom