Nafasi ya kaz yenye mshahara mnono

Mnafikiria wote wanategemea hela za mkopo tu? Kuna wenye wazee wao wana uwezo, kuna wenye kazi zao na wameamuwa kujiendeleza kusoma, kuna wenye "biashara" zao. Unanshangaza!

asante sana kwa elimu hii uloitoa hapa, nakumbuka siku moja nilisikia kwenye redio mtangazaji mmoja anaponda hivyo hivyo wakati vijana wanadai hela haitoshi kuwa amekuwa akikutana na baadhi ya wanafunzi bar so wanahitaji kwa anasa tu. hawa watu sijui walisoma enzi za mwalimu au wengne hawakupitia kabsa, kwani kuna wanafunzi wanamiliki mpaka magari ya kifahari tushangae kuwakuta bar afterall ni chuo sio shule.
 
enzi zetu tulikuwa tunapewa sh 2500, sijui sasa utaweza kumlipa au ndio yale yale ya kuhamasisha. watu wana shida na kazi maana ajira sasa ni ngumu . be specific .
 
Dogo shiringi 7000 siyo Hela wewe yaani we vijisent hivyo vinakusesembuuuuuuuaaaaa sasa we fanya anasa utauza kisicho uzwa na wengi
 
Back
Top Bottom