Nafasi ya Dr.Mtasiwa kupewo moja wa hawa hapa

Mtey ana network na wanaSiasa wengi kama sio wote influencial, ametumia vizuri uwepo wake Dodoma kuwa karibu na system, na ni mjanja sana mChagga yule! Bogus kwa upande upi, management au technical? huo ni mtazamo wako binafsi, by the way...do you need to be smart kuwa CMO? kuwa executive kwenye serikali hii ya JK? Hell no..smartness has never been a criteria.

Mhina sikumtaja kama possible candidate, Mwita nasupport ni very strong candidate, ila hana political networking!

Dr Mtey kwa ujanja janja wake wa kichaga na kujiweka karibu na System ,
pia Mtey alitokea Pwani kabla ya kwenda Dodoma (JK= B'Moyo/Mtey=KBH) utaona kuwa kuna uwezekano mkubwa anaweza akapewa kwani yeye na mkulu walicheza pamoja wakiwa wangali vijana na damu zikichemka,

Mtu pekee pale wizarani ambaye ni Senior kuzidi wengi, anayeijua vizuri Wizara ya Afya pamoja na sera zake, mtu ambaye ni disciplined and committed, hana harufu ya rushwa, hajui kupendelea hata kwa nduguze ni mmoja tu .... naye ni Dr Mliga, Director of Human resources and Training, Lakini kwa vile wao wateuzi huangalia vigezo vyao sidhani kama watampendekeza au hata kumfikiria tu
 
hivi RMO wa arusha si amestaafu?hii orodha yako ni ya kishabiki zaidi kuliko uhalisia.
 
Dr Mtey kwa ujanja janja wake wa kichaga na kujiweka karibu na System ,
pia Mtey alitokea Pwani kabla ya kwenda Dodoma (JK= B'Moyo/Mtey=KBH) utaona kuwa kuna uwezekano mkubwa anaweza akapewa kwani yeye na mkulu walicheza pamoja wakiwa wangali vijana na damu zikichemka,

Mtu pekee pale wizarani ambaye ni Senior kuzidi wengi, anayeijua vizuri Wizara ya Afya pamoja na sera zake, mtu ambaye ni disciplined and committed, hana harufu ya rushwa, hajui kupendelea hata kwa nduguze ni mmoja tu .... naye ni
Dr Mliga, Director of Human resources and Training, Lakini kwa vile wao wateuzi huangalia vigezo vyao sidhani kama watampendekeza au hata kumfikiria tu

Hapo kwenye red Dr.Mliga anastafu mwezi wa tatu au sita mwaka huu kwa hiyo wanaweza kutumia kigezo hicho kumnyima nafasi hiyo.Hata pia anafaa kuwa Katibu mkuu wa hiyo Wizara ni mtu safi sana.
 
Mtey ana network na wanaSiasa wengi kama sio wote influencial, ametumia vizuri uwepo wake Dodoma kuwa karibu na system, na ni mjanja sana mChagga yule! Bogus kwa upande upi, management au technical? huo ni mtazamo wako binafsi, by the way...do you need to be smart kuwa CMO? kuwa executive kwenye serikali hii ya JK? Hell no..smartness has never been a criteria.

Mhina sikumtaja kama possible candidate, Mwita nasupport ni very strong candidate, ila hana political networking!

Hapo penye blue ndo tunachotaka, but tulivyo mitanzania tunataka hapa penye nyekundu! Akiachwa kwa sababu ya hapo kwa red ndo nitakapojua "... like child like father". Matokeo ya IV.
 
Ni kweli, hata wa Mwanza ameshastaaf..anakaimu Dr. Yusuph Bwire!!
Msi'copy na kupaste, mfanye uchunguzi kwanza

Sasa ndo ujue Wizara ya Afya ilivyo mbovu kutunza kumbukumbu hivyo list nimeipata hapo jana ndo inavyosoma mpaka sasa.Upo hapo
 
Hiyo ni list ya maRMO. Tena ya zamani. Si lazima CMO atokee huko. Kuna strong candidates wengi ikiwamo Dr. Mmbando,Dr. Mohamed wa mradi wa malaria.........Dr. Kajoka ambaye ni mratibu wa mradi wa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, Dr. Ramadhani wa mradi wa taifa a kuzuia ukimwi.
Kama si umri kumtupa mkono, Dr. Saidi Egwaga wa mradi wa TB angefaa. Angewachapa viboko wajinga wajinga wengi.
Nakubaliana na wengi,Dr. Mwita anafaa sana ila naye umri umekolea.

Lakini Deo si amesimamishwa tu? Kwa sarakasi za nchi hii hawezi kweli kurudi?
 
Dr. Bangi ni mashine, hana mchezo kazi kwenda mbele, gender ni sawa lakini mpaka wawezeshwe, hata Mtey ni mjanja na yuko spidi, kwenye system powa, pia anajiongezea elimu ya uongozi, mapungufu yake ni machache, na ni mcheshi pia, na hana bifu za hovyo hovyo kama huyu aliyesimamishwa.
 
Hapa kuna mtizamo na upeo mpana. Ukweli ni kuwa sio kawaida na sio lazima CMO atokane na RMOs
 
Nafasi ya katibu Mkuu blandina Nyoni ijazwe na Regional Health Secretary hawa wafuatao
1. Mr Makambila Regional Health Secretary (RHS) Morogoro
2. Mr B. Nalya RHS DSM
3. Mr K. Mhagama RHS Iringa
4 Mr Mkopi RHS Ruvuma
5. Mr E. Kilewo RHS Singida
6. Mr P. Kanyinyi RHS Tanga
7. Mrs A. Mwaga RHS Pwani
8. Mr Msami RHS Kilimanjaro
9 Mrs Njunwa RHS Kagera
10. M rH. Dinya RHS Tabora
 
MS akiulizwa kuwa nani atakuwa mganga mkuu lazima atajibu awamu hii tunataka Muislamu awe Mganga Mkuu.
 
Ni kweli, hata wa Mwanza ameshastaaf..anakaimu Dr. Yusuph Bwire!!
Msi'copy na kupaste, mfanye uchunguzi kwanza

Huyu mleta mada naona kaingia huko kwenye ma-website ya serikali ambayo hayawi updated na aka koopi bila kufanya utafiti wowote. Matokeo anaorodhesha hata wastaafu, waliohamishwa, waliopandishwa vyeo nk. Ni vizuri wakati wa kujibu mada mtu utulizane usiwe na papara. Na katika sayanzi ya kupendekeza watu tarajiwa hauwa hutoai wahusika wote namna hiyo, angetaja mmoja hadi watatu tungemuelewa. Hata huyo anayetabiri makatibu wakuu watarajiwa naye hovyo hovyo tu kama huyu anayetabiri ma CMO. Kama ndiyo akili hii mnatumia kufanya kazi zenu za kila siku, Tanzania kufikia maendeleo yaliyofikiwa na hata Korea kusini itakuwa ni ndoto!!!
 
Museru.JPG
Huyu ndo CMO to be.
 
Hapo penye blue ndo tunachotaka, but tulivyo mitanzania tunataka hapa penye nyekundu! Akiachwa kwa sababu ya hapo kwa red ndo nitakapojua "... like child like father". Matokeo ya IV.

Umeniumiza mbavu zangu kwa kicheko mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom