Nafasi ya Dr.Mtasiwa kupewo moja wa hawa hapa

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,063
288
Baada ya Mtoto wa mkulima Pinda kumuondoa katika Mganga mkuu wa Serikali Dr.Deo Mtasiwa kunatetesi kuwa majina yafuatayo kuna moja atapewa nafasi hiyo ni:

Dr. S.M. Toure RMO Arusha Region

Dr. Hawa Kawawa
Ag.RMO DSM
Dr. G. J. B. Mtey
RMO Dodoma Region
Dr. Ezekiel Y. Mpuya
RMO Iringa Region
Dr. Pius Tubeti RMO Kagera

Dr. Valentino Francis Bangi RMO Kigoma Region
Dr. Mtumwa Simba Mwako RMO Kilimanjaro
Dr. A. S. Mohamed RMO Lindi region
Dr. S. Ulomi- RMO Manyara Region
Dr.S. Machibya- RMO Mbeya
Dr. Frida T. Mokiti RMO Morogoro Reg.
Dr. Ernest Kasoyaga Ag. RMO Mtwara Region
Dr. Meshack M.Z. Massi RMO Mwanza Region
Dr. D. S. Malekelea RMO Ruvuma region
Dr. Costa Chacha Muniko RMO Shinyanga Reg.
Dr. Robert M. Salim RMO RAS Singida
Dr. Leslie .G.Mhina RMO Tabora Region
Dr. Margaret E. Mhando RMO Tanga Region

Je kazi wataiweza hawa?Nawakilisha

Wee unapiga ramli,ungetaja wawili 2jue unajua.we kno kuwa atatoka miongoni mwa hao wa mikoa yote.
 
Wee unapiga ramli,ungetaja wawili 2jue unajua.we kno kuwa atatoka miongoni mwa hao wa mikoa yote.

Ndo majina amepelekewa mkulu kwa kuangalia uwezekano wa kujaza nafasi hiyo mapema.Hataki kupelekewa wachache kuogopa kuchakachuliwa.
 
Nikisema Dr Mtey RMO Dodoma ndiye atakayefaa zaidi mtasema ooooh...waChagga hao, lakini anafaa na nadhani ni moja ya maCandidate strong wa hiyo nafasi. Mwingine ni Dr Mwita RMO Kagera (aliyekuwa Program Manager NMCP akatolewa kwa hila za mama Blandina Nyoni kwenye sakata la mRDT). Halafu hiyo list yako ya zamani...mfano RMO Kagera ni Dr Mwita, RMO Mbeya ni Dr Mhina!
 
Mtey wa Dodoma ni bogus kabisa and forget about him. Umesahau sakata la X-ray na radiology mwaka 2010. Dr Mhina wa Mbeya hajakomaa kwa kuwa juzi tu alikuwa DMO Mpwapwa. Ila Dr Alex Mwita umepatia, jamaa Africa inamjua kwa issue za Malaria na huyu alipigwa vita mbaya sana na Blandina hadi akatupwa Kagera
 
Orodha ya kale mno, RMO Tanga ni Dr Uredi na sio margareth Mhando, alishahamia Wuzarani Kitambo. wengi wao wanakaribia kustaafu.
 
Dr.Costa Mumiko Chacha hafai kabisa wote wanajua kazi zake kabla hajawa RMO Shinyanga .Na huko Shinyanga hakukaliki kila siku kwenye hosp yake Musoma na madawa sijui kama yanapon huko Shinyanga maana jamaa hana hata huruma na rushwa anaipenda sana sana.
 
Mtey wa Dodoma ni bogus kabisa and forget about him. Umesahau sakata la X-ray na radiology mwaka 2010. Dr Mhina wa Mbeya hajakomaa kwa kuwa juzi tu alikuwa DMO Mpwapwa. Ila Dr Alex Mwita umepatia, jamaa Africa inamjua kwa issue za Malaria na huyu alipigwa vita mbaya sana na Blandina hadi akatupwa Kagera

Mtey ana network na wanaSiasa wengi kama sio wote influencial, ametumia vizuri uwepo wake Dodoma kuwa karibu na system, na ni mjanja sana mChagga yule! Bogus kwa upande upi, management au technical? huo ni mtazamo wako binafsi, by the way...do you need to be smart kuwa CMO? kuwa executive kwenye serikali hii ya JK? Hell no..smartness has never been a criteria.

Mhina sikumtaja kama possible candidate, Mwita nasupport ni very strong candidate, ila hana political networking!
 
Ni wakati wa Dr Machibya sasa utumishi wake ulitukuka aanze kutumikia watanzania wengi kwa Ujumla wao. CMO Dr S Machibya
 
Mtey ana network na wanaSiasa wengi kama sio wote influencial, ametumia vizuri uwepo wake Dodoma kuwa karibu na system, na ni mjanja sana mChagga yule! Bogus kwa upande upi, management au technical? huo ni mtazamo wako binafsi, by the way...do you need to be smart kuwa CMO? kuwa executive kwenye serikali hii ya JK? Hell no..smartness has never been a criteria.

Mhina sikumtaja kama possible candidate, Mwita nasupport ni very strong candidate, ila hana political networking!

Riwa humfahamu Mtey kabisa wewe. Mtey anapiga domo tu na kujipendekeza kwa wanasiasa lakini ni non performer. Hospitali ya Dodoma anayosimamia ni chafu, nafuu alipokuwapo Dr Mtimba ambaye walimpiga vita akaondolewa. Kwanza inawezekana anayejiita Riwa ndiyo Dr Mtey mwenyewe na ameamua kujipigia debe.
 
Kwa upande wa jinsia yawezekana Mkulu kuteua mama ambaye ni RMO Morogoro Dr.Mokiti...mmmm
 
Baada ya Mtoto wa mkulima Pinda kumuondoa katika Mganga mkuu wa Serikali Dr.Deo Mtasiwa kunatetesi kuwa majina yafuatayo kuna moja atapewa nafasi hiyo ni:

Dr. S.M. Toure RMO Arusha Region

Dr. Hawa Kawawa
Ag.RMO DSM
Dr. G. J. B. Mtey
RMO Dodoma Region
Dr. Ezekiel Y. Mpuya
RMO Iringa Region
Dr. Pius Tubeti RMO Kagera

Dr. Valentino Francis Bangi RMO Kigoma Region
Dr. Mtumwa Simba Mwako RMO Kilimanjaro
Dr. A. S. Mohamed RMO Lindi region
Dr. S. Ulomi- RMO Manyara Region
Dr.S. Machibya- RMO Mbeya
Dr. Frida T. Mokiti RMO Morogoro Reg.
Dr. Ernest Kasoyaga Ag. RMO Mtwara Region
Dr. Meshack M.Z. Massi RMO Mwanza Region
Dr. D. S. Malekelea RMO Ruvuma region
Dr. Costa Chacha Muniko RMO Shinyanga Reg.
Dr. Robert M. Salim RMO RAS Singida
Dr. Leslie .G.Mhina RMO Tabora Region
Dr. Margaret E. Mhando RMO Tanga Region

Je kazi wataiweza hawa?Nawakilisha

Apewe Dr Ulimboka!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom