NAFASI MPYA ZA KAZI,tembelea www.ajira.go.tz

Yes..true_mr.bornagain pagan....maake hayo maneno duuuh

Hata biblia kuna sehemu inawaelezea wanawali wapumbavu, usicream tu.Nyie ndo wale wale mnaongangania nani achinje na nani asichinje simply because mmeshika dini kimapokeo tu
 
Cm zetu hazina uwezo wa kufungua pdf ,tusaidien wakuu

inategemea na simu, coz kuna nyingine hazina uwezo huo, nyingine ina uwezo wa kusave mpaka uisomee kwenye comp through usb cable or card reader, kama yangu inafungua direct, unaweza teseka kumbe simu haina uwezo huo
 
Back
Top Bottom