Nafasi mpya za kazi kutangazwa kesho andaeni vyeti vyenu

moshingi

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
278
92
Kutokana na kichwa ngumu iliyoneshwa na Madaktari wengi waliogoma sehemu mbalimbali nchini,
Historia inatarajia kujirudia soon, madaktari wote walioendelea na mgomo na kukaidi AMRI pamoja na wale waliofika kazini lakini hawakufanya kazi(mgomo baridi) watakuwa wamefukuzwa kazi kwa hiyari yao wenyewe, hivyo wale wote wenye sifa wanakaribishwa
walete maombi yao kwa Bi Nyoni, kazi nje nje...Tunatarajia misururu mirefu ya waombaji kazi za udaktari kama kipindi kile...Mama
Meghji alipokuwa Waziri wa Afya...hata wale waliofukuzwa wataruhusiwa kuomba upya ajira...Tutarajie haya kutoea punde....!!
 
Kweli kweli Kuna Daktari hana kazi hapa Tanzania? au wanataka kuwaita wazee waliokufa akina Dr Uledi, Mpanda, Chiduo etc? au ni madaktari waliostaafu ambao mchakamchaka wa kazi za Muhimbili hawauwezi kabisa na hata wakichukua ndugu zetu madaktari waliopo wizarani pale ndio kabisaa hao wamezoea safari na posho kisu walishasahau zama za kale
 
Pinda , jana alikua anajinasibu eti watatumia madaktari wa Jeshi, hahaaaah so funny, wako wangapi, wenye sifa zipi, lol !
Muimbili inahitaji madktari mia tatu kuweza kuendana na speed ya wagonjwa pale, sasa wale Madaktari wa Lugalo wako wangapi, hata wakiwaleta wale wa Kijitonyama, wako wangapi, mbona kama kuna Ombwe la fikra !
 
Back
Top Bottom