Nafasi moja tu!!!!!!!!!!

Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
514
83
Natafuta mtumishi wa kazi za ndani mwenye jinsi ya kike. sijawahi kuwa na mtumishi yeyeto wala sina uzoefu wa watu hao hivyo yeyote mwenye mawazo ya kumpata mtumishi mzuri please msaada.
 
nawaomba msiwe na wasi jamani kama kuna mtu anafahamu vizuri naomba aniinbox tuwasiliane vizuri.
 
Ni kwa mujibu wa makubaliano. pia unaweza kuniibox pls ili uweze kunishauri vizuri coz si mweledi sana na hawa watu.
 
Ni kwa mujibu wa makubaliano. pia unaweza kuniibox pls ili uweze kunishauri vizuri coz si mweledi sana na hawa watu.
uko na familia? i mean watoto maana wako wawili mmoja hataki kazi za watoto
 
Ni vizuri ukawa wazi kwa mambo yafuatayo:
1. Je umeoa?
2. Mna watoto wangapi na wa umri gani?
3. Unataka msichana mwenye sifa gani na umri gani?
4. Kama hutajali, uko mkoa gani?

Mambo ya mshahara najua mtazungumza akifika kwako
 
Nimeowa na nina mtoto mmoja
Msichana awe ni wa rika ndogo ndogo about 18een to 22
Mimi naishi mwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom