Nafasi mbalimbali za kujiunga vyuo vya afya 2016/2017

wcasc

Member
Feb 21, 2016
19
3
http://www.https://jamii.app/JFUserGuide/2016/02/nafasi-za-kujiunga-kozi-mbalimbali.html
http://www.https://jamii.app/JFUserGuide/2016/02/mpyaapplication-za-kujiunga-diploma-ya.html
 
habari zenu ndugu.
mm nmemaliza form 4 2014 na kupata credit ya 2.4
niliapply chuo cha afya mwaka uliopita na nkapangiwa st aggre kusoma clinical medicine ila tokana na matatzo ya kifamilia ckuweza kwenda.
matokeo yangu ni kama yafuatayo
kemia- C
biolojia-C
fizikia-C
math-E
history-B
english-B
kiswahili-B
geography-C
civics-C
je naweza pata chuo cha afya kwa huu mwaka?
 
kuuliza si ujinga bali ni kutaka kujua.
niwe nmevuta bangi sijavuta ww haikuhusu.
uungwana ni kitu cha kawaida sana ckutumia lugha mbovu wakat naandika hayo
isingekwepo hyo kozi ya afya nazan nisingepata hata hyo kozi ya clinical medicine last year.
tuwe wastaarabu jamani kwa staili hii kweli mwingine anaweza kukusaidia ww ukiwa na tatzo wakat ulishamtolea lugha mbaya.
ok its fine najua binadamu wote tunamapungufu ila tumezidiana sana
 
Kweli ww unavuta bangi unayemjibu hakukusema ww alimwambia mtoa uzi ww umekurupuka na bangi zako mbich kwa hii tabia yako idara ya afya hufai hufai utaua watu unafaa ufundi umeme ili ukikurupuka tu upigwe shot
 
samahanini sana wana jf.
kweli usilolijua usiku wa kiza ni kosa langu jamani mnisamehe
 
dogo ana division three ya 25 matokeo yapo hivi
biology C,
chemistry C,
geography C,
phyisics F,
civ D,
hist D,
kisw D,
eng D,
math F.
wakuu nataka nimtafutie kozi ya afya badala ya kwenda A-Level, je atapata chuo ? na kama ndiyo naombeni ushauri nimpeleke chuo gani?
ASANTENI

MBOTA.
 
habari zenu ndugu.
mm nmemaliza form 4 2014 na kupata credit ya 2.4
niliapply chuo cha afya mwaka uliopita na nkapangiwa st aggre kusoma clinical medicine ila tokana na matatzo ya kifamilia ckuweza kwenda.
matokeo yangu ni kama yafuatayo
kemia- C
biolojia-C
fizikia-C
math-E
history-B
english-B
kiswahili-B
geography-C
civics-C
je naweza pata chuo cha afya kwa huu mwaka?
 
habari zenu ndugu.
mm nmemaliza form 4 2014 na kupata credit ya 2.4
niliapply chuo cha afya mwaka uliopita na nkapangiwa st aggre kusoma clinical medicine ila tokana na matatzo ya kifamilia ckuweza kwenda.
matokeo yangu ni kama yafuatayo
kemia- C
biolojia-C
fizikia-C
math-E
history-B
english-B
kiswahili-B
geography-C
civics-C
je naweza pata chuo cha afya kwa huu mwaka?
Ndio, tuma maombi haraka kupia nacte kabla ya 31/5
 
Habar zenu wana JF naomben mnisaidie swali langu, je dar es salaam kuna vyuo gani ambavyo vinatoa coz za afya, naomben mwenye majibu anisaidie.
 
Kaka tumepata na hizo brn zetu tunashukuru mungu ila tatzo ni ufaulu na sio utoaji wa matokeo kaka.
Mm nlikuwa na gpa ya 2.4 ila leo naenda kusoma ordinary diploma in clinical medicine bila usumbufu wowote toka nacte.
Division na gpa aka brn ni mifumo tu ya utoaji matokeo ila kikubwa ni ufaulu wako 2 mbona hatusemi form 4 wa mwaka huu wamefanya tayar mtihan wa brn?
Ubora wa mtu ni matokeo
 
Back
Top Bottom